Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mara ya Mwisho kusikia habari za Viwanda Mwanza ilikuwa ni lini?

Kiwanda Cha tablet Arusha
 
Hauhitaji kubishiwa unahitaji kuelimishwa kwamba kilimanjaro airport ni kwa ajili ya matukio tu jokes 🤣 😆 nyie ndio wale mnafatilia nchi kwa habari za online....uwanja wa kia pekee unaingiza wageni mara 3 zaidi ya uwanja wa mwanza and it's only 40 kilometres from arusha na bado uwanja wetu mdogo wa arusha nyie ndio mnakimbizana nao huku eti😄
 
Attachments

  • Screenshot_20230803-111131_Chrome.jpg
    131.8 KB · Views: 8
Sasa Mwanza inaingiza abiria karibia nusu ya abiria wanaotumia KIA na hapo haina international flight! Kwa kifupi Mwanza ingekuwa na Internationala flight msingepishana nayo sana kwa abiria!
 
Sasa Mwanza inaingiza abiria karibia nusu ya abiria wanaotumia KIA na hapo haina international flight! Kwa kifupi Mwanza ingekuwa na Internationala flight msingepishana nayo sana kwa abiria!
Upo sahihi na itasaidia sana watumiaji wengine wa nchi jirani na mikoa yote ya kanda ya ziwa hasa na hata kuongeza soko la nje la samaki nilichotaka ni kumpa elimu ndugu yangu kuwa kia sio kwa matukio muhimu pekee
 
Sasa Mwanza inaingiza abiria karibia nusu ya abiria wanaotumia KIA na hapo haina international flight! Kwa kifupi Mwanza ingekuwa na Internationala flight msingepishana nayo sana kwa abiria!
Sasa unadhan Hadi ujengwe na KIA itakuwa imelala?! Ujue pia KIA na uwanja wa Ndege wa Arusha ipo kwenye matengenezo na wamepewa wawekezaji kutoka Oman watengeneze...Cha kuijuliza kama uwanja wa Ndege wa Mwanza ungekuwa na potential kwanini wawekezaji wasije huko?
 
Ni serkali tu haijaamua ushajiuliza kwa nini kwa local flight customers ni wengi Mwanza inaizidi hadi KIA! Mwanza ni potential kwa kila kitu sema tu serkali zetu hizi hazijui kutumia fursa!
 
Ni serkali tu haijaamua ushajiuliza kwa nini kwa local flight customers ni wengi Mwanza inaizidi hadi KIA! Mwanza ni potential kwa kila kitu sema tu serkali zetu hizi hazijui kutumia fursa!
Local flights za kutoka Mwanza kwenda wapi ? Local flights kutoka Mwanza kwenda dar ,au kutoka dar kwenda Mwanza lazima ziwe nyingi kutokana na umbali hapo nadhan tumelewana
 
Local flights za kutoka Mwanza kwenda wapi ? Local flights kutoka Mwanza kwenda dar ,au kutoka dar kwenda Mwanza lazima ziwe nyingi kutokana na umbali hapo nadhan tumelewana
Wewe acha visingizio Mwanza iko namba mbili kwenye logistics zote baadae ya Dar! Hata Mkoa kwenye mabasi na vituo vya mafuta Vingi ni Mwanza baada ya Dar!
Hata magari yanayokuja bandarini na kubaki nchini mkoa wa pili kwa idadi ya wateja wa magari ni Mwanza baadae ya Dar!
Kwa hiyo Mwanza kukosa uwanja wa Ndege wa Kimataifa ni uzembe wa serkali yenyewe kutumia fursa!!
 
Hivi ilikuwaje songwe ukawa wa kimataifa kabla ya wa mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…