The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Leta actually progress,Kila Mji Kuna renderAICT Headquarters
View attachment 2726088
Na huu utawala nao utapita tu, naona kila mradi Mwanza wanaiexclude, lakini sidhani kama hiyo transport cables itakuja kukamilika, serikali hii maneno mengi kuliko vitendi... Upo wa mradi wa TACTIC?Sisi Mwanza tuna Utalii π€£π€£π€£π€£π€£
Kiko wapi Sasa ππ
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1696851934827741229?t=c9-IYE-eCGJYam5iymKrTw&s=19
Na huu utawala nao utapita tu, naona kila mradi Mwanza wanaiexclude, lakini sidhani kama hiyo transport cables itakuja kukamilika, serikali hii maneno mengi kuliko vitendi... Upo wa mradi wa TACTIC?
Endeleeni kujifariji na magazeti na serikali yenu ya maneno, sisi huku Mwanza, tunajenga wenyewe, na hiyo cable transport ilishapata mwekezaji kutoka finland, tunasubiri utekelezaji, nyie endeleeni kusubiri serikali yenu.
Hakika ni jengo zuri sana na limebadili kabisa muonekano wa maeneo hayo ya Philips!
Hahahhah kitu kizuri hakijifichi mzee bhabha licha ya mahaba niue na Mwanza yangu hapo sina neno!Hakika ni jengo zuri sana na limebadili kabisa muonekano wa maeneo hayo ya Philips!
Hapo sina neno 100%Hakika ni jengo zuri sana na limebadili kabisa muonekano wa maeneo hayo ya Philips!
Ulaya kabisa hii π
Nmekukubali sana kwa leoπHahahhah kitu kizuri hakijifichi mzee bhabha licha ya mahaba niue na Mwanza yangu hapo sina neno!
Jengo kama kopo la pafyumKwa sababu za wivu ,Jamaa wa Mwanza watakwambia jengo ni baya π€£π€£π€£π€£
Arusha inaendelea kupiga nyundo za Utosini kwa Mwanza π¨π¨π¨
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1697925645219532864?t=56jrMm863N3jnfjRKzqjrw&s=19View attachment 2737314View attachment 2737315View attachment 2737316View attachment 2737317View attachment 2737318View attachment 2737319View attachment 2737320View attachment 2737321View attachment 2737322View attachment 2737323