ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hiyo ni render tuu Wala sijui ni ya Mkoa gani maana nimejaribu ku zoom hapo nione jina sijafanikiwa ila limeandikwa hapo front.Kuna Miji 26 itajengwa Stand bwasheeHako kajengo hakana maajabu bado stendi ya msamvu itakuwa bora kuliko hii, render huwa zinakuwa tofauti na kitu halisi, naona mabanda ya kufugis kuku kuzinguka stendi pamoja na kajengo kama ka kituo cha afya katikati.