Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mradi mmoja tu huu ..ni sawa na miradi na miradi 100 ya hapo arusha...this is mwanza....pesa lazima itumike.[emoji116][emoji116]...GDP inazidi kuimarika day by day
 
Hakuna Mji huko ndio maana unatukana huna hoja
Leta view ya mji wa Arusha usituletee vimiradi vya kijinga vya magodown hapa. Uelewe kinachotakiwa siyo hizo projects uchwara ambazo mpaka kijijini watu wanajenga. Umechagua kubishana lazima uwe na vitu classic siyo kutuletea utumbo wa Bata humu. Ndiyo maana hata sisi tunajibu kukufurahisha au kukuudhi kwasababu huna Cha maana unachoweza kutushawishi.
 
Arusha na Mwanza wapi Kuna View Kali? Hayo ma slums ya Mwanza ndio view?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…