ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Je magufuli angekuwepo hai adi sasa unazani hayo yasingekamilika na kuweka miradi mingine zaidi, acha kutusemea sisi wakazi wa jiji, Samia siwezi kumbeza yupo vizuri anafanya mazuri kwa wakati wake.Magufuli wa Kanda ya Ziwa
-JPM bridge haikukamilika
-Standi 2 hazikukamilika
-Barabara za mitaa
-BoT Building
-Mtadi wa Maji haukukamilika
-Masoko hayakukamilika
-Wodi ya Sekotoure
-Airport aliitelekeza.
-Meli hazikukamilika
-Sgr inaendelea
Vs Samia
-Anakamilisha miradi yote ya Magufuli
-Anajenga Upya Airport ya Mwanza
-Barabara za mtaa Via TACTiC
-Hospital Mpya ya Jiji
-Majengo mengi mapya ya kupamba Jiji eg TBA,Maktaba,Jengo la Mionzi
-Matawi mapya ya vyuo Vikuu eg Ardhi
-Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Meli mpya
-Airport -Igombe-Kayenze-Nyanguge
-Hungumalwa-Ngudu-Magu(Magari ya Musoma yatatumia Short cut hii)
Mpaka hapo nani ameleta maendelea makubwa Mwanza? Acheni Samia Aitwe mama Wa Taifa Kitombile Mikdde Istanbul
View: https://twitter.com/tanroadshq/status/1723167812179349999?t=JT6D07V3BpulL7HLsPLxpg&s=19
Linganisha na hili lipo 65% ya ukamilifu wake
Kwa hela gani alizokuwanazo? Hakuna hata Kimoja kingekamiloka mungekuwa mnaona maigizo kama anavyofanya kijan wake Makonda mara apande Bajaji mara farasi na upuuzi kama huo.Je magufuli angekuwepo hai adi sasa unazani hayo yasingekamilika na kuweka miradi mingine zaidi, acha kutusemea sisi wakazi wa jiji, Samia siwezi kumbeza yupo vizuri anafanya mazuri kwa wakati wake.
Hakuna kitu acha kujiaibishaLinganisha na hili lipo 65% ya ukamilifu wake
View attachment 2810090
Jifanyeni vichaa hakuna jengo zuri Tanzania kama ilo gudude la capripoint, sijaongelea urefu nimesema uzuri kwa maana akili zako huwa zipo kama fisi majiHakuna kitu acha kujiaibisha
🤣🤣🤣🤣🤣 wivu tu marehemu.Kwa hela gani alizokuwanazo? Hakuna hata Kimoja kingekamiloka mungekuwa mnaona maigizo kama anavyofanya kijan wake Makonda mara apande Bajaji mara farasi na upuuzi kama huo.
Hakuna Cha wivu saizi angekuwa anahangaika na Sgr na bwawa Kila kitu kingesimama.🤣🤣🤣🤣🤣 wivu tu marehemu.
Wafanyabiashara wengi aliyekuwa na vita nao ni wale majambazi wasiolipa kodi stahiki.Hakuna Cha wivu saizi angekuwa anahangaika na Sgr na bwawa Kila kitu kingesimama.
Mtu aliyekuwa na ugomvi na wafanyabiashara, wawekezaji,Mataifa yaani hata hizo Tactic mngeishia kusoma kwenye maandiko maana mradi huo pesa zilicheleweshwa sababu yake.
Sipati picha na mambo ya after covidi na vita vipya uchumi ungekuwa hoi kama majirani.
Saizi Kodi zinazolipwa Hadi kuwa twice zinatoka wapi?Wafanyabiashara wengi aliyekuwa na vita nao ni wale majambazi wasiolipa kodi stahiki.
Wivu, chuki na roho mbaya vinakusumbua.Saizi Kodi zinazolipwa Hadi kuwa twice zinatoka wapi?
Yule alikuwa anaweza kufanya maigizo ya kufurahisha wajinga kama huyu Kijana wake hapa 👇
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1723014373323452642?t=IFhz-HqLKgIg4WYQL3o0tA&s=19
🤣🤣🤣🤣Wivu, chuki na roho mbaya vinakusumbua.
Waache usanii sasa wafanye kweli ili tutambiane na wakina kigali, Mombasa na kampala.Siku Barabara zote hizo zikijengwa ,Mwanza mtakuwa na njia 4 nyingi sana na aibu ya kuleta vipicha vya ajabu ajabu itaisha Kitombile
View: https://www.instagram.com/p/CzcHatot9Fv/?igshid=MTUxMTJoZHc3dXo2NA==
Soon watatoa Saini mradi wa igombe-Airport na Hungumalwa-Ngudu-Magu,hiyo mingine subirieni kuelekea uchaguzi wa 2030.Waache usanii sasa wafanye kweli ili tutambiane na wakina kigali, Mombasa na kampala.
Hizi mambo za ndani huwa unazipata wapi wewe mfukunyuku😂😂Soon watatoa Saini mradi wa igombe-Airport na Hungumalwa-Ngudu-Magu,hiyo mingine subirieni kuelekea uchaguzi wa 2030.
Wala sio mambo za ndani hiyo taarifa hapo ya TanRoads inajieleza.Hizi mambo za ndani huwa unazipata wapi wewe mfukunyuku😂😂