Magufuli wa Kanda ya Ziwa
-JPM bridge haikukamilika
-Standi 2 hazikukamilika
-Barabara za mitaa
-BoT Building
-Mtadi wa Maji haukukamilika
-Masoko hayakukamilika
-Wodi ya Sekotoure
-Airport aliitelekeza.
-Meli hazikukamilika
-Sgr inaendelea
Vs Samia
-Anakamilisha miradi yote ya Magufuli
-Anajenga Upya Airport ya Mwanza
-Barabara za mtaa Via TACTiC
-Hospital Mpya ya Jiji
-Majengo mengi mapya ya kupamba Jiji eg TBA,Maktaba,Jengo la Mionzi
-Matawi mapya ya vyuo Vikuu eg Ardhi
-Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Meli mpya
-Airport -Igombe-Kayenze-Nyanguge
-Hungumalwa-Ngudu-Magu(Magari ya Musoma yatatumia Short cut hii)
Mpaka hapo nani ameleta maendelea makubwa Mwanza? Acheni Samia Aitwe mama Wa Taifa
Kitombile Mikdde Istanbul
View: https://twitter.com/tanroadshq/status/1723167812179349999?t=JT6D07V3BpulL7HLsPLxpg&s=19