Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)


View: https://www.instagram.com/p/CuBobfLt8om/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
-2105487027.jpg
827041819.jpg
 
Hii Arusha hua ni kuikuza kuza hakuna lolote...mimi ninafanya kazi hapa Arusha mwaka wa tisa sasa na nyumbani kwangu ni Mwanza,maelezo mengi wala hayasaidii nitajichosha bure, Arusha mnaikuza bure tu haina la kutisha sana,kila kukicha mnaongelea watalii ambao wakishuka wanapotelea huko Karatu,Ngorongoro na Serengeti,Arusha ni mikwara tu mzee ni ya kawaida na inaziwa kwa 80% na Mwanza
Kwa Tanganyika, hoteli za 5 star zipo Arusha na Dar Es Salaam pekee. Unafikiri ni kwa nini?
 
Back
Top Bottom