Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Serikali yenu haijengi Sewage system na wakat wanaijua geography ya Mwanza what do you expect?. Kama kipindupindu kimetokea ni wakati wa serikali yako kujengwa sewage system
Harafu unakutana na mtu anasema anapenda kuishi Mwanza 😂😂
 
Mwanza anzeni kuaga rasmi mbele ya Arusha

Standi Kuu &Soko coming soon

View: https://www.instagram.com/p/C2SYCsZNim4/?igsh=MTBpdDBjNGlsdW45Yw==
Screenshot_20240119-225313.jpg
 
Mwanza Sasa 😁😁👇👇View attachment 2877286
Mwanza tenda zifutazo zimeshatangazwa 1.ujenzi wa soko la samaki mkuyuni 2.ujenzi wa soko kirumba pamoja na barabara unganishi 3.ujenzi wa kingo za mto mirongo (hapa itakua kama ulaya) 4.barabara ya Buhongwa igoma, 5.ujenzi wa malagana recreational park, hii miradi yote niya MCC bado Ilemela nao wana miradi yao ya Tactics
 
Tenda ya soko la kirumba imetangazwa lini?

Hiyo miradi ya Barabara ipo Kila Jiji na ujenzi unaendelea
 
Back
Top Bottom