Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wala sio mambo za ndani hiyo taarifa hapo ya TanRoads inajieleza.

Pili Waziri amesema wanamsubiria Rais awe mgeni Rasmi wanapotia saini mikataba 15 yenye thamani ya sh.1.34 Trilioni.

Baada ya kusoma hiyo taarifa ya TanRoads ndio nikajua Kwa Mwanza hizo barabara hapo Juu ndio za kipaombele.

Kwa taarifa Yako tuu Mbeya na Songwe tuna miradi 2 kwenye Hilo kapu la miradi 15.

Mwisho wa mwezi huu wa November stay tuned nitawapa updates.
Acha na sisi watu wa Mwanza na mbeya tupozwe sio kila siku Dar, Dodoma na Arusha.
 
Acha na sisi watu wa Mwanza na mbeya tupozwe sio kila siku Dar, Dodoma na Arusha.
Bora Mwanza Kuna miradi Mizuri Iko kwenye pipeline.

Yaani Kwa Mbeya wakimaliza Njia 4 ndio nitolee sijaona mradi wowote tena wa maana ambao uko kwenye Mpango sana sana watatafutiza Ka Stand 😂😂

Maana project ya Barabara 4 Hadi Tunduma itakamilika 2030 ndio utakuwa mradi mkubwa wa Kuombea kura.

Ingawa ningependa wajenge barabara kuanzia Mbalizi- Makongolosi Hadi Tabora/Singida Ili Mabasi makubwa yaache Kupitia mlimani yanapoenda Kanda ya Ziwa.

Hii ndio Barabara pekee kubwa ambayo itakuwa imebaki Kwa Mbeya.wakati nyie makolo wa Mwanza Kuna miradi Mingi Mizuri ya njia 4 Kila direction.

Kwa Dodoama Bado ni kama Dar wataendelea kuopendelea maana Wana inner Ring road,km 50 Kila direction na ya Morogoro itakuwa njia 4 full hadi Dar.

Pia hao mbwa wanaenda kuanzia BRT na Light train Dodoma.
 
Sisi daraja la kigongo busisi likiisha sioni mradi mpya labda wa kujenga madarasa na zahanati.
 
Magufuli wa Kanda ya Ziwa
-JPM bridge haikukamilika
-Standi 2 hazikukamilika
-Barabara za mitaa
-BoT Building
-Mtadi wa Maji haukukamilika
-Masoko hayakukamilika
-Wodi ya Sekotoure
-Airport aliitelekeza.
-Meli hazikukamilika
-Sgr inaendelea

Vs Samia
-Anakamilisha miradi yote ya Magufuli
-Anajenga Upya Airport ya Mwanza
-Barabara za mtaa Via TACTiC
-Hospital Mpya ya Jiji
-Majengo mengi mapya ya kupamba Jiji eg TBA,Maktaba,Jengo la Mionzi
-Matawi mapya ya vyuo Vikuu eg Ardhi
-Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Meli mpya
-Airport -Igombe-Kayenze-Nyanguge
-Hungumalwa-Ngudu-Magu(Magari ya Musoma yatatumia Short cut hii)

Mpaka hapo nani ameleta maendelea makubwa Mwanza? Acheni Samia Aitwe mama Wa Taifa Kitombile Mikdde Istanbul

View: https://twitter.com/tanroadshq/status/1723167812179349999?t=JT6D07V3BpulL7HLsPLxpg&s=19

Siku Moja Moja uache usenge we bonyokwa.
 
Eti Jengo la mwaka mmoja, soko kuu la bilion 20 wamelijenga kwa miaka mitano na bado halijulikani litaisha lini, sembuse hii airpot na figisu zote na ukiritimba liishe kwa miezi kumi ...wajinga sana hawa watu😂😂😂
Airport ya Songwe inajengwa Toka 2005 hadi Leo hii wanasema itamalizika disemba 2023 miaka 22.

Si Bora hiyo ya Mwanza itamalizika 2025
 
Back
Top Bottom