Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Tatizo sio wewe bali limeanza baada yakuwa mshirika mpya wa ARV, hiyo arv imekusababishia encephalopathy, unaleta umbeya bila facts, unaujua umbali kutoka buhongwa adi airport? Buhongwa pekee inatosha kushindana na hicho kijiji cha arusha.
 
Miji hujipambanua yenyewe tu na pazuri huwa kimbilio la wengi

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
😀kwa hivyo nukuu ya serikali ni udaku
Kuna siku serikali itawaomba iwasaidie kuwakaza wake zenu, napo sijui mtakubali, hizo porojo za serikali werevu tulishagundua kitambo tu.
 
Kuna siku serikali itawaomba iwasaidie kuwakaza wake zenu, napo sijui mtakubali, hizo porojo za serikali werevu tulishagundua kitambo tu.
Wahi ukanye ziwani wewe ma** yanapanda kichwani
 
Acha porojo wahi ziwani ukakate gogo
Kalieni matusi na dhihaka Mwanza inazidi kupaa tu na kijiji cha Arusha kinasafari ya miaka 50 adi kufika mahali mwanza ilipo, huwa mnajiona wajanja sana pale wazungu wanapokuja huko kushangaa wamasai na ngedere wa ngorongoro, jiji limejaa mapori kama wanaishi chimpanzee.
 
ARV effects on brain stems. Tengeru to namanga how stupid this fact is????. Arusha airport(kisongo) to town kote mjini you are not serious at all. Tengeru hapo kati Kuna mapori na mito kama yote u say ni mjini. Hebu tuambie what does the word mjini means kwa akili yako ili tuende pamoja. Kwasababu kama ndivyo basi, mwanza inaanzia ukiliguru, usagara, nyashishi then buhongwa na kuendelea.
 
Mashoga kibao pale nenda kaloleli usiku. Ndo ujanja wao kwa wazungu
 
Wao wenyewe ni vivutio vya wazungu pamoja na ngendere waliopo pori la Arusha. Hata sisi Huwa tunakuja kuinjoi vivutio vyetu including wao maana ni ajabu kuona mtu anajidai mjanja huku kinywa kinamtukana
 
Sasa hapa umeongea nini sasa
 
Ewe mtu wa Arusha, unapobishana watu wa Mwanza kaa ukijua, wenzio wana mentality ya kijijini, ni washamba, hawana exposure, mji wao upo mbali na dunia, hakuna mtu anaujua, anautafuta wala kuwajua. Vitu vingi kwao ni vigeni. Ni watu walioamka kwa mbali sana tena juzi, mnajua sana zaidi yao. Mmewazidi kila kitu. Tafuteni miji ya maana sio Mwanza. Wenzenu kwa akili yao wanadhani wao ukitoa Dar ndio jiji la pili, pili kwa wingi wa watu labda, vingine vyoooote, wameachwa mbali sana pamoja na kubebwa na mfumo miaka kibao.
 
Nawe pwagu kama pwagu wenzio. Yupi mshamba kati ya mwenye meno yaliyooza na mwenye meno meupe masafi.
 
Nawe pwagu kama pwagu wenzio. Yupi mshamba kati ya mwenye meno yaliyooza na mwenye meno meupe masafi.
Mfano hai huu hapa, ona hili ata halijui tofauti ya meno yenye flourosis na yaliyooza (decay), ambayo kuoza ata meupe yanaoza. Mbaya zaidi kuna wasukuma kibao meno yao yanarangi. Ndio maana Arusha wamewazidi kila kitu kasoro ushamba na ujinga.
 
Wewe unajitetea Nini nawe si hata wazungu wanashangaa Domo lako ukicheka halafu mnakuja kutuambia issue za exposure🤣🤣🤣. Wewe mwenyewe kivutio
 
Wewe unajitetea Nini nawe si hata wazungu wanashangaa Domo lako ukicheka halafu mnakuja kutuambia issue za exposure🤣🤣🤣. Wewe mwenyewe kivutio
Mimi Mtoto wa kino clan mshamba mmoja wewe. Nawashangaa nyie washamba wa Mwanza, sisi ata dar tunaelewa Arusha ni sehemu ya kijanja na machalii wa Arusha tunajua ni watoto wa mjini. Nyie mwanza who cares? Nani yani? Sanasana labda kuleta magari mabovu huko na kuwatapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…