Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hii inaonyesha umaskini wa watu wa mwanza
Mkoa wa Pili kwa idadi ya watu
Mkoa wenye watu mara mbili idadi ya wa Arusha
Lakini bado kwenye idadi ya vingamuzi mnapigwa chini
Ni kusema nyie hamna TV au🀣
Heko kwa wanangu wa Mbeya mnaonyesha nguvu yenu ya kiuchumi
Thumbs up! Kwa chuga nyie tunajuaga siku zote Arusha ni Dunia

View: https://x.com/TheChanzo/status/1762892343714144753
 
Nikisema Mimi Huwa wanasema Nina chuki 🀣🀣
 
Na wew ndio unajiona umechambua uchumi wa miji...aliyekuambia idadi ya ving'amuzi ndo kipimo Cha uchumi nani ...mbona hujazingatia ceterius peribus kama cable na satellite dish?
 
Na wew ndio unajiona umechambua uchumi wa miji...aliyekuambia idadi ya ving'amuzi ndo kipimo Cha uchumi nani ...mbona hujazingatia ceterius peribus kama cable na satellite dish?
Unachobisha ni nini hasa? Hiyo ni indicator kubwa sana ya Uchumi wa individual level,unajitoa ufahamu?

Mbeya ni tofauti sana na hiyo Mikoa yenu ya kisengerema,angalia distribution ya income kwenye Wilaya zake πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7izP36NS-h/?igsh=c2s4bmlmbzRkY2pu
 
Unachekesha ...mbarali ambako wakulima wanalalamika kutozwa ushuru na tozo kwenye mazao Yao ushuru mwingi mpaka serikali imeingilia kati .na ndio mapato Yao πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Unachekesha ...mbarali ambako wakulima wanalalamika kutozwa ushuru na tozo kwenye mazao Yao ushuru mwingi mpaka serikali imeingilia kati .na ndio mapato Yao πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kuna siku binadamu amewahi kufurahia kulipa Kodi au tozo? Ushuru lazima utozwd yaani usitozwe Kwa kuwa wewe ni nani?

Mwisho ushuru mwingi ndio kiasi gani? 😁😁😁😁
 
Kuna siku binadamu amewahi kufurahia kulipa Kodi au tozo? Ushuru lazima utozwd yaani usitozwe Kwa kuwa wewe ni nani?

Mwisho ushuru mwingi ndio kiasi gani? 😁😁😁😁
huwezi nidaganya kuhusu mapato ya halmashauri.....tozo zilizopitiliza kwenye magunia ya mpunga yasiyofikia tani Moja ni wizi uliopitiliza .. asilimia 80 ya mapato ya mbarali ni unyonyaji wa wakulima
 
huwezi nidaganya kuhusu mapato ya halmashauri.....tozo zilizopitiliza kwenye magunia ya mpunga yasiyofikia tani Moja ni wizi uliopitiliza .. asilimia 80 ya mapato ya mbarali ni unyonyaji wa wakulima
Kwako Mapato ni nini tofauti na tozo? 😁😁😁😁

Mapato ya Wilaya za kisengerema za Mwanza Yako wapi? 🀣🀣
 
We unadhani kukamilika Kwa mgodi wa nyanzaga 2025 .. sengerema mtaikamatia wapi kwenye mapato
Kuka .....unawaza upuuzi ule ule unaothibitisha ufukara wenu.😁😁😁

Mgodi wa mzungu wewe muuza mkaa utakusaidia nini? Hata fidia hawajaanza Toka 2021 ni porojo Hadi kesho.Kwanza unajua kinachoendelea kwenye huo mgodi au unaropoka kijinga tuu hapa?

Mwisho onyesha Mapato ya Halmashauri zenu hapa nicheke
 
Ukifunguliwa ban nitag nije nikujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…