😄 tuonyeshe picha za jengo la mwauwasaHostel
😄 tuonyeshe picha za jengo la mwauwasa
😄 tuonyeshe picha za jengo la mwauwasa
Huu mradi ni wa hela nyingi sana nan ana u fundIle swali ya Mkoa gani una potential zaidi kati ya Mwanza na Arusha jibu hili hapa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_PsFWuqaH9/?igsh=MXBnYWdvdnV2MGh5NA==Meanwhile compansation Kwa Wakazi imeanza 👇👇
View: https://x.com/TheGuardianTzO1/status/1828652779700711460?t=hYoTuMYX5hE3TfT4giK5mg&s=19
Soma ndani utaelewa 👇👇Huu mradi ni wa hela nyingi sana nan ana u fund
Kumbe ni kampuni za kigeni tena au ndio tuseme nchi imeshauzwa hii
Wewe ndio umepigwa mnada. Umeshawahi ona wapi Serikali inaendesha migodi?Kumbe ni kampuni za kigeni tena au ndio tuseme nchi imeshauzwa hii
Tunashkuru kuliko kilichokuwepo ilikua ni aibuWarehouse a.k.a godown
Sahihi mkuu, utofauti wako na choice variable, ni kwamba wewe una akili mkuu. Hupendi mabishano yasiyo na tija.Tunashkuru kuliko kilichokuwepo ilikua ni aibu
Hongera kwao! Ila Mwanza pia haipoi!
Potential ya Mwanza ipo kivyake ndo maana wewe mwenyewe unajua Mwanza haina mambo ya Kiserkali kama Arusha ila moto unawaka kama kawa! Project kila kona ya mji!Huu mradi ni wa hela nyingi sana nan ana u fund
Cha maana hapo ni daraja tuuHongera kwao! Ila Mwanza pia haipoi!View attachment 3097444View attachment 3097445View attachment 3097452View attachment 3097453