Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza. A total of Sh54 billion will be spent in the construction of the East Africa Maritime Security Coordination Center in Lake Victoria, Mwanza.
 
Wanapenda projects mpya nimeanza na hiyo hapo ya ujenzi wa maritime security coordination center. Wakitaka niendelee waseme maana kila siku fala sunk anatuletea projects za godown
Ndio ulete hizo ghorofa na picha ya mji tuone
 
Wanapenda projects mpya nimeanza na hiyo hapo ya ujenzi wa maritime security coordination center. Wakitaka niendelee waseme maana kila siku fala sunk anatuletea projects za godown
Huyu sunk .ambaye hata hajawahi kufika mwanza ...... kiufupi kuilinganisha mwanza na arusha ni kupoteza muda ...
Let's tuipe wilaya ya nyamagana itafaa sana kuichallenge Arusha
 
Nafaham
Nafaham sana historia yake, ndio maana nasema mtu wa tanga au Arusha yupo juu zaidi ya mkulima wa mwanza. Ndio maana washamba wa maghorofa mpo mmekalia lete pichaa. Yapo mengi sana sina ushamba wa kupigapiga picha wewe.
 
Sa facts zako zinakuwa supported na uwendawazinu wako nani akae kukusikiliza wewe na ujinga wako. Huna Cha maana kabisa na nilijua tu tukiwa serious upumbavu huu utajianika.
 
Huyu sunk .ambaye hata hajawahi kufika mwanza ...... kiufupi kuilinganisha mwanza na arusha ni kupoteza muda ...
Let's tuipe wilaya ya nyamagana itafaa sana kuichallenge Arusha
Kirumba, kitangiri, nayamanoro na pansiasi zitaosha kabisa. Huku kwingine ni kupotezeana mda tu.
 
Nenda instagram acha ushamba nyoko mwenyewe mchimba chumvi wa Mwanza. Chaushamba wewe.
We mpiga debe, na mtumia mibangi. Touch zimeshuka bei ukajiokotea Infinix kutwa kutusumbua. Mimi na wewe ni watu wawili tofauti kabisa acha ufala. Hata robo huingii kivyovyote chagua kitu personal tubishane uone nitakavyokunyorosha
 
Nafaham

Nafaham sana historia yake, ndio maana nasema mtu wa tanga au Arusha yupo juu zaidi ya mkulima wa mwanza. Ndio maana washamba wa maghorofa mpo mmekalia lete pichaa. Yapo mengi sana sina ushamba wa kupigapiga picha wewe.
Nyie mnapotuletea hadi godown, parot hotel, mount Meru, kibo palace hotel n.k huwa akili zenu zinakuwa zimechangamshwa na bangi au?. Tumeamua kuwajibu kwa takwa lenu la picha falla sunk na wewe pagwu pitia page za nyuma muone tulivyowavumilia. Twendeni kwenye userious muone kama hamjachochoa nyupi zenu
 
Nimequote data hujaziona? Uto tupicha nikiweka hapa hamna pakwenda, tughorofa twa juzi tunawazuzua wa mwanza, 🤣kwanza tubayaa.
 
OK OK ngoja tuwasikilize wazee wa Mwanza...
 
We mpiga debe, na mtumia mibangi. Touch zimeshuka bei ukajiokotea Infinix kutwa kutusumbua. Mimi na wewe ni watu wawili tofauti kabisa acha ufala. Hata robo huingii kivyovyote chagua kitu personal tubishane uone nitakavyokunyorosha
Nimecheka sana hapa mtu humjui unaandika hivi ipo siku utaumbuka mkuu,watu wamefunika mashuka humu...
 
Nenda instagram acha ushamba nyoko mwenyewe mchimba chumvi wa Mwanza. Chaushamba wewe.
kwanini nyinyi washamba wa arusha huwa mnajiona wajanja wakati ushamba upo damuni mwenu au kwasababu ya minguo mnayovaa au ni mibange au ni meno au ni ushoga uliokithiri huko ujanja kwenu ni nini? turudi kwenye mada wenzenu wa Mwanza wanaleta mapicha kibao ya mji wao japo wana gorofa tisa tu kama mnavyosema na nyie leteni magorofa yenu 20000 ili tuwa prove wrong hao watu wa Mwanza.... punguzeni midomo bila picha ni uzwazwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…