Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza ipo juu ya Arusha almost kwa kila kitu except ile hali ya ubaridiKumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.
Karibuni mchangie
Nenda mwanza utakuja na majibu, chuga kumejaa machalii hahahaWanawake wepi kati ya mwanza na arusha wana misambwanda wazeee
Ova
kwa misambwana kanda ya ziwa nmewavulia kofiaNenda mwanza utakuja na majibu, chuga kumejaa machalii hahaha
yan anauliza hivyo wakati ndio kuna ongoza kwa wanawake wenye mitako mikubwaa...Kwanza kwanini mtu afanishe arusha na mwanza ? mbona hakuna uwiano kbsa ? arusha ni kama Tanga tu.kwa misambwana kanda ya ziwa nmewavulia kofia
wewe itakua ulivokuja Arusha ulifikia kwa shangazi🤣yan anauliza hivyo wakati ndio kuna ongoza kwa wanawake wenye mitako mikubwaa...Kwanza kwanini mtu afanishe arusha na mwanza ? mbona hakuna uwiano kbsa ? arusha ni kama Tanga tu.
Yaani Mwanza ulingalishe na kijiji cha wavuta bhangi wa Arusha!! Hebu acha utopolo basi wakuu!!Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.
Karibuni mchangie
we ni magu gani tena🤣🤣Yaani Mwanza ulingalishe na kijiji cha wavuta bhangi wa Arusha!! Hebu achani utopolo basi wakuu!!
asa mbona unatuma picha tu hatujui kama ni mwanza au arusha hiyoHebu twendeni na picha itapendeza zaidi
Hii ni Arusha
View attachment 2039674
View attachment 2039676
View attachment 2039677
View attachment 2039678
chuga ipo juu kaka hakimu...kama ni vyuo chuga vipo vya kumwaga....watoto wa kali ndio usiseme chuga ndio jiji lenye watoto wakali nchi hiiNani hajapata jibu?
Mwanza sio ya kuilinganisha na vimji vya ajabu ajabu kama Arusha.
Mwanza inakimbizana na Dar kwenye kila kitu, miundombinu, mapato, wingi wa watu, uchangamfu, starehe, watoto wazuri, vyuo, nk. Muwe mnasoma hata takwimu/taarifa za serikali zinatolewa kila mara kuonyesha Mwanza is untouchable.
Arusha ilinganisheni na Kahama ama Musoma sio Mwanza ni kuivunjia heshima Mwanza.
umeshawahi kufima chuga wewe?Hata kwenye ushindani kati ya NBI na DSM, pia Wakenya hupenda kuweka Mombasa na Mwanza kwani ni miji inayokaribiana, ingawa Mombasa inazidi kidogo Mwanza. Ukweli ni kwamba kwa kila mizania, Mwanza iko juu ya Arusha. Kwa hali ya hewa Arusha ni green city. Hata hivyo Mwanza ni kubwa, Mwanza ina population kubwa na kiuchumi Mwanza iko juu ya Arusha(angalau kwa sasa)
Hii Arusha hua ni kuikuza kuza hakuna lolote...mimi ninafanya kazi hapa Arusha mwaka wa tisa sasa na nyumbani kwangu ni Mwanza,maelezo mengi wala hayasaidii nitajichosha bure, Arusha mnaikuza bure tu haina la kutisha sana,kila kukicha mnaongelea watalii ambao wakishuka wanapotelea huko Karatu,Ngorongoro na Serengeti,Arusha ni mikwara tu mzee ni ya kawaida na inaziwa kwa 80% na MwanzaArusha ni mji wa kitalii na fursa zake zinahitaji mtaji mkubwa
Mwanza ni mji wa watu wengi wa hali ya chini unaweza kufanya biashara ndogo ndogo
kwahiyo kama ni bata la hela ndefu hata Dar haiingi kwa Arusha mkuu
hapo umetuuza bhana mdaz kusema kwa bata hata dar haiingii kwa chuga....kama umefika dar bas huwez linganisha bata la dar na mji wowote hapa bongo....tutakuwa tunadanganyana ...dar itabaki kuwa dar na wala hatuhitaji kuiongelea hapa sababu dar ndio tzArusha ni mji wa kitalii na fursa zake zinahitaji mtaji mkubwa
Mwanza ni mji wa watu wengi wa hali ya chini unaweza kufanya biashara ndogo ndogo
kwahiyo kama ni bata la hela ndefu hata Dar haiingi kwa Arusha mkuu
waswahili wanasema mkataa kwao mtumwa...sasa bhana Gtax usije ukawa unaisifia sana mwanza kwakuwa ni nyumbani kama ulivyosema mwenyewe.Hii Arusha hua ni kuikuza kuza hakuna lolote...mimi ninafanya kazi hapa Arusha mwaka wa tisa sasa na nyumbani kwangu ni Mwanza,maelezo mengi wala hayasaidii nitajichosha bure, Arusha mnaikuza bure tu haina la kutisha sana,kila kukicha mnaongelea watalii ambao wakishuka wanapotelea huko Karatu,Ngorongoro na Serengeti,Arusha ni mikwara tu mzee ni ya kawaida na inaziwa kwa 80% na Mwanza