ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mama mi 5 tena π₯ π₯Heko Arusha
Ni upumbavu na ujinga kulinganisha Mwanza na Arusha.Jamaa wa Mwanza walishaga sarenda wako wanajipapatua Kwa Dom πππ π
View: https://www.instagram.com/p/DJRBiO3osCP/?igsh=MXN2emU3aWR3NnF5dA==
Toa makamasi kwamza harafu uje na takwimu Sasa sio kuropokaNi upumbavu na ujinga kulinganisha Mwanza na Arusha.
Arusha inatakiwa ilinganishwe na Kahama
HakikaVibrant Tourist hotspot & modern City of Arusha π₯π₯ππView attachment 3337823View attachment 3337824View attachment 3337825View attachment 3337826View attachment 3337827View attachment 3337828
My Take
Level ya Mwanza ni Mbeya