Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Alisimika hater mmja akijifariji πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani AICC hiyo Iko fully booked,hakuna ukumbi mkubwa wa kupata deligates zaidi ya 3,000 kama ilivyo Kigali na Nairobi au Addis Ababa harafu Jamaa anaongea pumba gani?
Tanzania kwanza tumechelewa sana kupata ukumbi kama huo, aicc umejengwa miaka 50+ iliyopita !
Ni sawa nakusema dodoma isijengwe msalato airport kwa vile kuna airport tayari si kichekesho hicho
 
Hebu nipe ukubwa wa jiji la arusha vs jiji la mwanza alafu ujicheke mwenyewe πŸ˜„
Huhuhu mwanza jiji ni kubwa sana yaani eneo lililofikiwa na watu ni kubwa sana na mitaa mingi mwanza imechangamka hasa iliyo nje ya jiji kama buswelu ,igoma na kiseke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…