Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wewe kama.huna hoja kaa kimya sio kuropoka upumbavu wako hapa
 
Kama ni kushindanisha basi Mwanza inazidi Arusha kwa mambo yafuatayo :
1. Kudhulumu maisha ya ma-albino
2. Hela za ndago
3. Ushamba wa wenyeji wa huko kiwango cha lami
4. Uchafu wa mji hata watu binafsi
5. Huko ndo magagula yamejaa
6. Ulaji usiofaa (mapenzi)
7. Wizi, unyang'anyi na dhuluma za kireja reja
8. Ulimbukeni
9. Na mengine kama hayo
Hivyo kwa [emoji817] mnaipiku Arusha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji2957][emoji2957][emoji38][emoji38]
 
Arusha ipo vizuri sana. Mwanza na arusha ni mbingu na ardhi. Arusha next level.
Mkuu alibino na vikongwe unaongelea shinyanga tena zamani, ndagu unaongelea Tanzanua nzima.
Ushamba uko sahihi wao hawafugi rasta ili waolewe na wazungu na hakuna mashoga kama pale arusha.
Ulimbukeni ni arusha pia
 
Unanuka kizibo kama washamba wenzio.

Kiangazi gumboat,masika gumboat yaani nyie ni wachafu hatari
Mbona unaniogopa mzee wa posh neighborhood [emoji1][emoji1][emoji1] arusha haina mapafu ya kubattle na Mwanza hadi dunia inaisha


Jamaaa ananikwepa [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Najibu kwa namba
3. Mmasai ana ujanja Gani si ndo mbwa wetu magetini
4. Unga limited Kuna usafi Gani 😀😀, ubinafsi ni kipengele kwa Arusha tuondolee tabia zenu.
5. Kaloleni unapajua wewe, mpaka wanaume wanawekwa. Na dada zenu ndo bar maids wa Mwanza na dsm na wanauza si poa
6. Hoja yako hata haieleweki una lenga ulaji upi specify tukusaidie.
7. Tatu mzuka unaijua wewe, mara ngapi mnawaibia wazungu hapo yaani mtu asiyetumia bangi awe mwizi kushinda mvuta bangi?. Kajipange mdogo wangu.
8. Kushobokea wazungu na kuiga miondoka ya wakenya kwenu ni ujanja. 😀😀😀 Sawa limbukeni legend.
9.hujasema matako baa pale mianzini wanawekana kuanzia saa mbili asubuhi kama chai
 
Oya Kuna ULIMBUKENI na UJANJA watu wa Arusha mjue kutofautisha haya maneno. Hata kujidai wewe don sana, mjanja n.k ni ULIMBUKENI@Choive Variable a.k.a falla sunk labda kama tunahangaika na watu wasio na uelewa wowote juu ya psychology na mental health kwa ujumla.
 
Waambie Tindiga /Hadzabe ambao wanakaa uchi mpake kesho wanapatika Arusha yaani bado wanaishi Maisha ya mwaka 1800's bado hao wamasai wanashinda matako wazi .
 
Kama washamba wanaishi sehemu inayowaka namna hiii basi utakua na matatizo ya akili... hiii picha imepigwa kwa kutumia simu


Hiii ni 5% ya jiji la mwanza😄
 
Ivi bado kuna mambanga wanaleta ushindani wa kijinga juu ya jiji letu Chugastan? Yani hadi raisi mstaafu wa USA aliliita jij “Geneva of Africa” bado kuna mapimbi wanaleta ushamba wao baada ya kula na kunya ziwani kama kawaida wanapungua uwezo wa kufikiri
 
Ndo ulimbukeni huo kama hujui, shobo shobo tu za kijinga. Ushawahi kusikia wazanzibar wanajisifu na huu ujinga?. Au mkoa mwingine zaidi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…