Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

[emoji16][emoji16] arusha hio isiyokua hata na airport ya maaana ili table inoge tunataka picha za hio geneva ya kaskani
 
Ndo ulimbukeni huo kama hujui, shobo shobo tu za kijinga. Ushawahi kusikia wazanzibar wanajisifu na huu ujinga?. Au mkoa mwingine zaidi yenu.
Sisi tunajikubali mbona nyie munaumia? Kwa nini tusisifu mji wetu pendwa duniani..maali oote apa dunian akuna kama Atown na haitakaa itoke. Arusha ndio nguzo ya dunia.
 
[emoji16][emoji16] arusha hio isiyokua hata na airport ya maaana ili table inoge tunataka picha za hio geneva ya kaskani
Yani nyie munashindana na Arusha wakati sisi tunawaza kushindana na Durban au cape town ebooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi hatushindani na vijiji vya wavuvi. Mwanza umasikini umetawa kule kazi kizaliana na kuua Albino na vikongwe na ndio maana muna laana matajiri wakubwa apo kwenu wametoka kaskazini. Munaamini ndagu munaangalia tu kutowa kafara baba zenu na ndugu zenu albinos
 
Durban na hyo migomba iliyojaa kwenye vijumba kuanzia Philips Hadi tengeru [emoji28][emoji28][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunajikubali mbona nyie munaumia? Kwa nini tusisifu mji wetu pendwa duniani..maali oote apa dunian akuna kama Atown na haitakaa itoke. Arusha ndio nguzo ya dunia.
Nani anaumia na hilo li mji lenu, ollachuga vipi chama lako la chelsea naona muda unavyoenda ndio linakutia uchizi.
 
Wakijibu nitagg

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuma ya kibodi wanalia kwa saut kuuu[emoji16].. tena kama yule choice ananiogopa kama popo bawa

Mimi arusha naitoa knock out kwa picha nilizopiga mwenyewe sina hata haja ya kuzidownload za uko mtandaoni zilizo pigwa na mafundi

Hiii tecno f1 yangu inapicha za kuilaza arusha kifo cha mende[emoji1]
 
Type ya mtu kama huyu hata umulike na torch hawezi ona. Hongera Mzee wa Durban. Nilijua kidogo wewe una mwelekeo kumbe ni wale wale daaah. Mengine haya yoote ni night mare, keep dreaming mdongo wangu
 
Nani anaumia na hilo li mji lenu, ollachuga vipi chama lako la chelsea naona muda unavyoenda ndio linakutia uchizi.
Dah kuusu chelsea wee subiri tutakaa sawa tu kama sasa tunavyowakimbiza kwenye kila mradi na sisi atutegemei sirikali kama nyiny wasukuma sisi tunafanya kila kitu na ndio maana tumetapakaa adi uko kwenu tunawapa viajira vyenye mishaara kiduchu, tuseme tu ukweli mwanza ni kijiji cha wavuvi bado kufikia hatua ya jiji kama Arusha
 
Kumbe shabiki mwenzangu wa Chelsea halafu unajitoa ufahamu, unakwama sana
 
Type ya mtu kama huyu hata umulike na torch hawezi ona. Hongera Mzee wa Durban. Nilijua kidogo wewe una mwelekeo kumbe ni wale wale daaah. Mengine haya yoote ni night mare, keep dreaming mdongo wangu
Mkuu mkimbizano wa apa town utauweza kweli. Apa town mzunguko wa ngariwa ni mara nane ya pale mwanza. Ukiondoa nyamagana mwanza ni kijiji kilichochangamka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu mkimbizano wa apa town utauweza kweli. Apa town mzunguko wa ngariwa ni mara nane ya pale mwanza. Ukiondoa nyamagana mwanza ni kijiji kilichochangamka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Sikujibu mkuu acha nipumzike brother
 
Huku watu wa kutoka kaskazini ata hawasikiki biashara kubwa zote zinashikiliwa na watu kutoka kanda ya ziwa.
 
Kumbe shabiki mwenzangu wa Chelsea halafu unajitoa ufahamu, unakwama sana
Huu mtifuano hauwezi kuisha maana ninyi machalii wa mwanza bado sana kuijua dunia tokeni uko ziwani njooni duniani muone watu wanavyokula bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…