Battle Mwanza VS Kigali

Battle Mwanza VS Kigali

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,649
Reaction score
6,680
Kulingana na baadhi ya Wanyaruanda kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kigali kipo hakipo Mwanza na kipo Mwanza hakipo Kigali.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mza wale wa Kigali wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
We naye umekoswa vya kulinganisha au [emoji15][emoji849][emoji849][emoji28]
 
Mwanza inachoizidi Kigali ni ukubwa wa mji,ziwa kwa maana ya usafiri wa majini ,buss terminals na sgr.

Kigali inaizidi Mwanza usafi wa mji,miundombinu ya barabara, viwanja vya michezo hapa hata DAR na NRB zikasome, kwa ujumla Kigali ipo juu ya Mwanza kwa mambo mengi.

Lakini pia Mwanza ndani ya miaka 2 au 3 itakuwa vizuri sana pale sgr ikiisha, JPM Bridge, jengo la abiria pale airport na barabara zikipanuliwa.
 
run way ya mwanza bado ni fupi, jengo ni dogo pia. Mwanza kama kitovu muhimu cha biashara katika kanda ya ziwa ingetakiwa ijengwe international airport yenye hadhi ya jnia na siyo kale kajengo kadogo kama ka air strip. ni lazima tanzania tuwe tayari kufaidika na biashara katika ukanda huu
 
Sema Mwanza haitendewi haki yake ya kihadhi kama jiji yaani kuna maeneo hata barabara hapa town kabisa za ajabu zimeharibika na viongozi wapo kimya tu... Alafu maendeleo ya miradi iko slow sana jiji la Mwanza sijui tatizo nini tu..
 
Kweli.
 
Mwanza ulinganishe na kigali kweli labda ulinganishe na ugali
 
Ila Mwanza ni Jiji sidhani kama unaweza kuifananisha na Kigali naona Kama kigali Overrated sana
 
Welcome in Dar es Salaam city
 
Attachments

  • 7E8BB05F-7AC3-4DBD-96CB-C473031824FD.jpeg
    7E8BB05F-7AC3-4DBD-96CB-C473031824FD.jpeg
    201.1 KB · Views: 23
Sema Mwanza haitendewi haki yake ya kihadhi kama jiji yaani kuna maeneo hata barabara hapa town kabisa za ajabu zimeharibika na viongozi wapo kimya tu... Alafu maendeleo ya miradi iko slow sana jiji la Mwanza sijui tatizo nini tu..
Uwekezaje ww serikali n mdogo
 
Sema Mwanza haitendewi haki yake ya kihadhi kama jiji yaani kuna maeneo hata barabara hapa town kabisa za ajabu zimeharibika na viongozi wapo kimya tu... Alafu maendeleo ya miradi iko slow sana jiji la Mwanza sijui tatizo nini tu..
Serikali ya CCM iliisusia mwanza kabisa baada ya JPM kufariki. Wanasahahu kuwa JPM alikuwa wa Chato, Geita siyo wa Mwanza lakini wao wamwamua kuadhibu Mwanza na Geita kwa pamoja. SGR imesimama, Airport imesimama, barabara za mitaani nazo zimesimama, Soko la Mkuyuni limesimama, Kinachoendelea ni Daraja la Magufuli tu, nadhani kwa sababu ya sensitivity yake tu, huenda nalo lingekuwa limesimama sasa
 
Focus
 
Mwanza ambayo lori au trela likitaka kwenda musoma linapita mjini.

Mwanza ambayo hata mwizi anashindwa kuiba benk sababu barabara za kutoka nje ya mwanza zipo mbili.
 
Back
Top Bottom