Battle: NEW YORK CITY vs PARIS CITY

NY ni jiji kubwa sana kiuchumi na shughuli ila kiJoglafia ni dogo tu,
hilo jiji ni zuri sana ila lina kila aina ya uhuni, starehe, utapeli, na biashara,

PARIS ni jiji pia zuri lkn sio la kufananisha na NY, hili jiji japo pia kuna uhuni na starehe lkn ni za kawaida sana kulinganisha na NY...uzuri wa Paris ni kwamba ni jiji ambalo lipo very ROMANTIC...

kwny sekta ya mapenzi sijui HoneyMoon ni heri Paris mtaenjoy sana sio NY kule kama bado wageni mnaweza pata maswahibu mshangae [emoji3][emoji2]

ss sijui unaringanisha hayo majiji ktk sekta ipi hasa....ila mimi kama tupo na washkaj wakisema trip iwe ya wapi i will pick NY,

kama na mama watt i will go to PARIS.
 
Paris ina uzur gan mpaka uifananishe na New York. Ni km kuifananisha Chato na Dar es salaam.
 
Duh kwahiyo mkuu kuifananisha new york na paris ni upuuz kama upuuz mwingine
 
Asante sana ndugu yangu mungu akubalik sana
 
Yaani umefanansha simu ya Tecno na IPhone.
Mungu anakuona
 
Unapenda kuzungumzia vya wengine vyako je?
Late habari na picha za majiji yako :Arusha vs Mbeya, Dsm vs Mwanza nk.
Huko New York na Paris kuna wenyewe mjomba na si wewe!
Anyway thread kidogo ina utafauti mkubwa na blah blah za kitoto ulizozoea kuleta hapa. Big improvement.
 
Asante sana mimi natokea kwenye jiji hili la MWANZA MWANZA
 
Watu wa Mwanza(beira baby) mavyopenda kuringia jengo la Rock City Mall, utafikiri halina expansion joints!
 
Na 50 Cent
 
hv NYC uifananishe na kijiji cha Paris .?!!..labda kama unazungumzia masuala mengine hapo sawa ila kama miundo mbinu hakuna city yeyote ya kuifukuzia NYC
Hiyo inapambana na Tokyo,Beijing na Shanghai
 
Watu wa Mwanza(beira baby) mavyopenda kuringia jengo la Rock City Mall, utafikiri halina expansion joints!
Mi mtu wa Mwanza pia, ila hili jengo limekaa kama spaceship ya aliens waliyoitelekeza hapa duniani miaka ya 50.
 
Watu wa Mwanza(beira baby) mavyopenda kuringia jengo la Rock City Mall, utafikiri halina expansion joints!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…