Battle of Electric Cars, Kenya vs Tanzania

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Hehehe
Kenya
20230904_135045-jpg.2738662

Tanzania

udsm-jpg.2738665
 
Yeah, students' project. Was just a model design, don't take it seriously. Kama umesoma hadi university utanielewa
Boss, universities make the best things, Kiira Motors in Uganda was built by Makerere University students and it's good quality. Acha excuses.
 
Kwa hivo lijengwe ovyo kisa ni la exhibition? 🤣
Utakapokuwa umefika muda wa kuliweka sokoni, litavalishwa sasa ile sura nzuri ya kuvutia wateja kama wewe. Sasa hivi bado wako kwenye majaribio, model iliyopo ni kwa ajili ya majaribio tu
 
Wakenya mnapenda kushindana na waTanzania.
Kwani tatizo nini?
Unashindana na mtu ambaye unaona ni superior kwako ili uweze kupiga hatua. Inferiors wako huwezi kushindana nao, ila wao ndiyo wanaweza kuwa wanashindana na wewe, hata pasipo wewe kuwa na taarifa
 
Maskini wana tabia za kushindana,usishangae
Wakenya mnapenda kushindana na waTanzania.
Kwani tatizo nini?
Most threads za ushindani hapa zimeanzishwa na Wabongo. Stop projecting. Kama hizi
1. Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania
2. Battle: Dar es Salaam vs Nairobi
3. EACOP vs Lamu pipeline
4. Airports: Kenya vs Tanzania
5. Kisumu port vs Kigoma port
6.Raia wa Kenya ni masikini kuliko Watanzania
7. Bandari ya Mombasa yaporomoka kwa kasi kwa ubora, yapitwa na bandari ya Dar
8. Kwanini Wakenya wanaihofia Sana Tanzania?
9. Kisumu vs Mwanza
10. Jiji la Nairobi ni dogo sana ukilinganisha Dar es Salaam lenye ukubwa mara tatu

Kirahisirahisi nimekutajia nyuzi 10 zilizoanzishwa na Watanzania wakijilinganisha na Kenya. Mimi nipe tu tano pekee za Wakenya wakijilinganisha na Tanzania tuongee facts.

cc Hoshea

Ukiona mtu anajiinganisha na wewe furahi usilalamike; kwa sababu kama anafanya hivyo, pasipo shaka wewe unakuwa ni role model kwake
 
Wala sijalalamika, nilikuwa nakukosoa tu wewe na mwenzio mnaposema Wakenya tunapenda kujilinganisha na Wabongo yet the opposite is true.
 
Back
Top Bottom