Battle of sexes (Ushindani wa jinsia) – Wanaume kwa wanawake.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Huu ni mchezo mpya kabisa hapa ambao I just dreamed up. Mchezo wenyewe ni wa kusema kitu chochote kwa jinsia nyingine (Opposite sex)

Kama wewe ni mwanaume, unaanza kwa kuandika neno “Mwanamke”
Kama wewe ni mwanamke, unaanza kwa kuandika neno “Mwanaume”

Ukianza, Neno mybe Mwanamke unaendelea kuandika maelezo yanayo husu jinsia hiyo vitu vinavyo wahusu maisha yao ya kila siku hasa tabia zao.
Kumbuka, unatakiwa kusema kitu chochote funny kinacho muhusu jinsia nyingine

Mifano yangu,

1.Mwanamke- ni kama maji ya kunywa, ukinywa unatoa kiu yako
2.Mwanamke- anachukuwa zaidi ya lisaa limoja kuvaa nguo asubuhi
 
Huu ni mchezo mpya kabisa hapa ambao I just dreamed up. Mchezo wenyewe ni wa kusema kitu chochote kwa jinsia nyingine (Opposite sex)

Mbona itakuwa imekaa kiChitchat zaidi...
 
Mwanamke-ni kama gazeti, the older ones are not in demand
 
Reactions: Wun
Mwanaume anaependa wamama watu wazima waliowazidi umri ananiboa sana!!!!!
 
Mwanamke mwenye papuchi kubwa hafai kuolewa bora afanye ukahaba kwa kuwa kigezo anacho
 
Men have a need to make sense in ARGUMENTS ndo maana tunawashinda daily!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…