jobless tycoon
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 675
- 327
ila nairobi katuzidi.....ingawa kwa hiv sasa dar ni moja ya miji inayokuwa kwa speed in sub sahara africaMay be you are not ok, kufananisha Dar na Kampala .Tembea sio picha za mitandaoni ,mm ni businessman nasafiri kwa mwezi naweza kutembea Kampala, Nairobi ,Arusha ,Dar na Lusaka .May be kama ukilinganisha na Nairobi inaisogelea Dar kwa karibu ila Dar inakua sana ,Kama upo Uganda nenda Nairobi na Dar ndio utaona huko hamna kiti
Brother usikariri maisha, ni kweli hiyo mitaa haijapangiliwa vizuri lakini hizo nyumba hakuna mtu wa kibera anaweza kuziaffordDar Suburbs......
Let me be honest here, I am trying as much as possible to be fair to Dar. I am really looking for the good photos from Dar, scouring all the internet, ie the Google images and the Skyscrapercity.com for some presentable pictures, but its all coming up with nothing. I swaer to God, I am not being malicious here.
There is really nothing!
That is really what i am getting online about the Dar suburbs!
Dar-is-Slum!
Ati hunanga muda wa kushow off? Haa! Haya huwa ni maneno ya wasiokuwa nacho! Kujiliwaza na kujifanya "wangwana".
Aisee mimi naishi Mwanza ila cjawahi kufika Kampala but Kampala milima yake wameitendea haki,milima imejengwa na kupangiliwa vizuri ila milima ya mwanza ni aibu kwa Tz na jiji kwa ujumlaHizi ndio unasema ni zaidi ya dsm? Hizo linganisha na Mwanza au chuga bablai
Mbona sasa unaongelea Kibera? Si ungesema tu mtu wa Nairobi hawezi kuafford hizo manyumba za Mbagala. Kibera, bila shaka ni kwa wale watu maskini zaidi Nairobi.Brother usikariri maisha, ni kweli hiyo mitaa haijapangiliwa vizuri lakini hizo nyumba hakuna mtu wa kibera anaweza kuziafford
chukua aerial view hata ya mbagala tu ni mbovu lakini quality ya nyumba za hapo ni zaidi ya kibera..
Kuna middle income earners wanakaa huko lakini middle income earner na kibera wapi na wapi....
Alafu kupitia picha zako ni aidha huijui dar ama unajitoa ufahamu maana hizo picha zako zinatoshwa hata na kigamboni na ninarudia tena "KIGAMBONI "
Kampala bado ndogo sana kwa dar... dar haina league zaidi ya nairobi
Kujifanya hautaki kujionyesha.Uungwana uko wapi kwenye comment yangu
I dint say it is properly planned. The city is not well planned at all, but here I am talking about the residential areas that that appear better planned and more aesthetically appealing than what we are seeing in Dar.I can't believe you think Kampala is properly planned
na mimi sijaongelea sehemu za dar zilizopangiliwa vizuri na zenye watu wanaoweza kuafford apartment popote duniani...Mbona sasa unaongelea Kibera? Si ungesema tu mtu wa Nairobi hawezi kuafford hizo manyumba za Mbagala. Kibera, bila shaka ni kwa wale watu maskini zaidi Nairobi.
Na uzi huu haihusu Kenya, hili ni malumbano kati ya Tanzania na Uganda, kwa hivyo zungumzia Uganda.
La mwisho, acha kuniambia Kigamboni ni nzuri kuliko picha hizi za Uganda. Tupia picha za huko kudefend maoni yako.
Kujifanya hautaki kujionyesha.
Tobaaa, hapa tunazungumzia mambo ambayo tayari yapo, sio projects.
Kwa hivo Avic ndio itakuwa the first planned estate in Tanzania?
Haijalishi Avic itakuwaje, ukweli bado utabakia pale pale, Dar is a poorly planned city, esp kwa upande wa makaazi.
Hata kama waDar hawapendelei apartments, si wapange makao yao sawa sawa tu? Watu kujega makao yao hivyo kiholela kwa kweli inaharibu mandhari ya mji. Hata watu wa Kampala hawapendelei sana kuishi kwenye apartments kama watu wa Nairobi, lakini waona vile wamejitahidi kujenga makao yao vizuri tu. Naski huko Dar mtu ananunua kipande chake cha ardhi na kuamua kujenga atakavyo.mbona una kichwa kigumu katika kuelewa vitu simple tu
niliitaja avic kama project mojawapo ambayo ipo kigamboni na hata kama ipo incomplete lakini ipo kigamboni na kwa asilimia kubwa imeisha na watu washaanza kufanya makazi na pia yakupasa kujua kuwa watanzania hawategemei apartments hivyo,sehemu planned kama kigamboni ina nyumba za watu binafsi nyingi na zipo vizuri sanaaaanlakini nikakutajia project ili iwe rahisi kwako kupata picha
sijakataa kuwa dar is poorly planned city lakini hizo sehemu zote ulizoweka za uganda haziwezi kufua dafu kwa dar labda kwa huo ukijani tu
Mbona sasa unaongelea Kibera? Si ungesema tu mtu wa Nairobi hawezi kuafford hizo manyumba za Mbagala. Kibera, bila shaka ni kwa wale watu maskini zaidi Nairobi.
Na uzi huu haihusu Kenya, hili ni malumbano kati ya Tanzania na Uganda, kwa hivyo zungumzia Uganda.
La mwisho, acha kuniambia Kigamboni ni nzuri kuliko picha hizi za Uganda. Tupia picha za huko kudefend maoni yako.