Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Tanzanians here, give us the Dar suburbs, not just the CBD pictures. Kampala landscape is simply breathtaking!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Show us the Dar suburbs!Hizi ndio unasema ni zaidi ya dsm? Hizo linganisha na Mwanza au chuga bablai
Show us the Dar suburbs!
That is not the Kampala CBD btw, those are surbabs. Kampala city, though small, is in IMO more alluring than the any pics of Dar I have seen.
Ati hunanga muda wa kushow off? Haa! Haya huwa ni maneno ya wasiokuwa nacho! Kujiliwaza na kujifanya "wangwana".Wooi, sikulazimishi, sinaga muda wa ku show off mimi, ila nina marafiki wa Ug.
Largest slum according to whom? Dar, 360 degree view consists of what? What do u call these? Ofcoss no Tanzanian wants to admity that these are slums.Tena Wakenya ndio mnyamaze kabisa...the country with the largest slums in the world..siku hizi mmewageuza wakazi wa kibera kama wild animals wazungu wanakuja kuwaona wakiwa kwenye real life ya uchafu na umaskini uliotukuka...!
Fix that tragedy ya slum kwanza ndio mje hapa tutambiane.
Pathetic!
Hakuna city duniani inakosa slums..na as the city becomes more modern and sophisticated ndio slums zinajikita zaidi.Largest slum according to whom? Dar, 360 degree view consists of what? What do u call these? Ofcoss no Tanzanian wants to admity that these are slums.
Dar-is-Slum Suburbs
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani hamna mitaa za kisawa sawa Dar-is-Slum!
1) Kweli, hamna city ambalo halina slums duniani, lakini mbona hili la Kenya mnataka kuitilia chumvi hivi ingawaje maadai hayo yamekanwa na mashirika mengi ya kimataifa kuhusu ukubwa na hali halisi ya Kibera?Hakuna city duniani inakosa slums..na as the city becomes more modern and sophisticated ndio slums zinajikita zaidi.
Ishu hapa slums za Kenya ndio largest in the world..yaani kama kungekuwa na ligi ya world slum champion mngenyakua hilo kombe bila yeyote yule kucomplain ushindi wenu..your are unbeatable kwenye hili.
Frankly slums za Tz sio much scary kama za Kenya....gross!
Fix that shiit!
Weweee......no way. Huijui Dar vizuri it seems. Kampala is one big slum with red matope and very noisy bodabodas all around....it doesnt even come close to Dar. Hata bora ungesema Entebbe i liked it better.We shld compare Dar vs Kla suburbs. U would be surprise how advanced that city trounces Dar in that aspect!
NYie wakenya mnamishe za kifala sana...1) Kweli, hamna city ambalo halina slums duniani, lakini mbona hili la Kenya mnataka kuitilia chumvi hivi ingawaje maadai hayo yamekanwa na mashirika mengi ya kimataifa kuhusu ukubwa na hali halisi ya Kibera?
Africa's propaganda trail, part I: The missing millions of Kibera | Martin Robbins
UNDP WATCH: The missing millions of Kibera (Where did Bill Gates money go ? ) - Did UNDP tell the truth?
2) Na mbona hamna mita ya kisasa yaliyopangika vyema jijini Dar kama yalivyo Nairobi, kampala na hata Kigali, ingawaje Tz ina uchumi wa upili kwa ukubwa eneo ya maziwa makuu na kati?
But the messages from the pictures are more poignant than your words, bro.....I am yet to see any pictures of the Dar suburbs as captivating as the Kampala photos I am fishing online!Weweee......no way. Huijui Dar vizuri it seems. Kampala is one big slum with red matope and very noisy bodabodas all around....it doesnt even come close to Dar. Hata bora ungesema Entebbe i liked it better.
The only good thing about Uganda is the very nice climate and green vegetation.
NAirobi is more than just flyovers brother.NYie wakenya mnamishe za kifala sana...
kampala iyo mitaa ilioonyesha haijai ata mikocheni pekee naona kama unatuwaza sana ,nairobi ukitoa flyover kwa Dar inakaa, nashangaa unawaza mlingane na cape town unajitekenya cape town is even better than most European cities itakua apo kwenu ? Jiangalie vyema
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Tembea uone usikae na mgando wa mawazo apoNAirobi is more than just flyovers brother.
It is the city with the most highrises, the most modern suburbs, the most expressways, the most industries, the most cosmopolitan. It is in fact the East/Central Africa's ultimate city!
Show us your suburbs...........
Ni izo umepost au kuna zingineShow us your suburbs...........