Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

FB_IMG_15448154529601264.jpg
FB_IMG_15448155163245680.jpg
 
Haha wakenya mmehamia huku mmekimbia aibu zenu za kuonyeshwa kibera
 
Kampala inawatoa vumbi bana. Sisai tulihamia Cape Town VS Nairobi.
Msivyo na aibu wakazi wa kibera ndo mnapiga kelele humu kuliko hata waganda wenyewe yaani nyie ndo maana wazungu wanawapenda wanawawowa mnashobo kuliko maelezo
 
Msivyo na aibu wakazi wa kibera ndo mnapiga kelele humu kuliko hata waganda wenyewe yaani nyie ndo maana wazungu wanawapenda wanawawowa mnashobo kuliko maelezo
Ingia muhimbili nashuku uginjwa wa moyo unakudhuru. Ligi yenyu ni Kampala ila naona wanawatoa vumbi hata pande ya barabara... Tanzagiza bure kabisa.
 
Ama kweli kichapo cha dar kimefanya watu wamedata.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Wamekimbia na chupi mkononi
 
Back
Top Bottom