Basi nikiona mwanamke ana tumbo kama lile huwa nawaza ukubwa wa utumbo wake.
Hahaha hahahaUnajiona mgeni mwenyewe
Kutafuta attentionMtu sijui anakosa cha kuandika hivi lazima uandike thread jamani
Zile gari zilizoandikwa MB/Rangi 3 - SIMU 200 kumbe siyo mwendokasi?Dar kila siku nipo..mbagala hakuna mwendokasi bana
Kwa nini umenidanganyaaa jana [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Sijakuelewa kabisa mimi
Ningekuwa na lile tumbo ningeomba michango nikakatwe utumbo[emoji23][emoji23]
Si ndio hapo sasa..
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]nawapenda wote.. mmoja ni dada yangu mwingine nampenda sana na namtaka sema ananipiga dana dana
Acha unafiki siyo vzuri, hata yeye zamani alikuwa na tumbo kama lako. Leo hii kupata tumbo kubwa siyo makosa yake ni ulafi wake wa kula hovyo kama mchwa pori.
MscheewwwNimtajeeee
[emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa na lile tumbo ningeomba michango nikakatwe utumbo
Basi subiri nitakupa mbinu ya vita!Kuhama nilipokua? Hapana jirani
Home girl ndugu kabisa yaniiMzigua mwezangu unashingapi nikupigie debe,,, ila ndo nimejua leo kwamba na huyo mwingine na kumbe ni home girl
Lakin nisiusemee moyo wa Mzee BabaHahaha hahaha hahaha hahaha
Sema kweeli aki...
Umesema unaye shemeji, asa unataka nikuwe mke wa ngapi jamanii.... Mie bado mdogo, uke wenza siuweziiii
Ulipokuwa unakula wali kilo 3 hukujiuliza utalipataje?
AmiiinTunakupenda pia wakwetu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
HahahahahHahaha hahaha hahaha hahaha
Sema kweeli aki...
Umesema unaye shemeji, asa unataka nikuwe mke wa ngapi jamanii.... Mie bado mdogo, uke wenza siuweziiii
[emoji23][emoji23]
Unajishaua..ipo siku watakudunda hao vibonge
Umekuwa mpole ghafla eehLakin nisiusemee moyo wa Mzee Baba
Ngoja aje mwenyewe
[emoji23][emoji23]Zile gari zilizoandikwa MB/Rangi 3 - SIMU 200 kumbe siyo mwendokasi?
Bhoooojhoo!
Hahaha hahaha
Inabidi nileft tuu aki