Battle: Shunie Vs Mzigua90

Battle: Shunie Vs Mzigua90

Ah ah ah ah ah ah ah ah hii mpya aitheeee katika maskio yangu

Kwanza mzee akisikia hii mboko nkatazo chezea sio za nchi hiii

Demiss shemeji yangu bhana

Rudisha mapenz kwa mzee bhana
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Si mlikuwaga mnagombea mrembo Demiss jamanii...

Siku hizi nimeokoka! Uchawi wake umeshindwa! Upendo wangu ni wa Agape
 
Acha unafiki siyo vzuri, hata yeye zamani alikuwa na tumbo kama lako. Leo hii kupata tumbo kubwa siyo makosa yake ni ulafi wake wa kula hovyo kama mchwa pori.
Jamani kwani kucheka dhambi jirani?

Hata sijamfanyia unafki nimejikuta tu nacheka

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote wa-TA wenzangu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Wote rafiki zangu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Wote nawapenda
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Wote wananivutia
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Wote nawakubali sana.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Tunakupenda pia wakwetu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Ah ah ah ah ah ah ah ah hii mpya aitheeee katika maskio yangu

Kwanza mzee akisikia hii mboko nkatazo chezea sio za nchi hiii

Demiss shemeji yangu bhana

Rudisha mapenz kwa mzee bhana
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Sema kweeli aki...

Umesema unaye shemeji, asa unataka nikuwe mke wa ngapi jamanii.... Mie bado mdogo, uke wenza siuweziiii
 
Back
Top Bottom