Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nipo kwenye mwendokasi wa Mbagala naelekea Mbande.
Yeah inanyesha ..na foleni kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah inanyesha ..na foleni kama kawaida
Sema tuuUnataka niseme hapa jamani au nikwambie wozap
espy na Madame B
Hali ya hewa nzuri sana
Wew na Sakayo
Huyo ni dadangu!Wew na Sakayo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nidokeze hizo mbinu...maana kwa huo ukorofi wako najua ipo siku nitakudunda
[emoji23][emoji23]Nipo kwenye mwendokasi wa Mbagala naelekea Mbande.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah ah ah ah ahHuyo ni dadangu!
Hebu uache uchokozi
[emoji3][emoji3][emoji3]Hapana una imani sana mgongo wako, yaani huwa navuta picha ya tumbo lako naishia kukuona kama Rick Ross.
Okay...ndio maanaAliniambia kuwa yupo Iringa jana.
Hahahahahahahahaha mwehuuuu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana leo siku ya 3 jana nilikua nakujaza tu pale
Sasa je! We niambie huwezi jua naweza sahau ukaishia kunidunda[emoji849][emoji849][emoji849]Yaani niibie siri kibonge? Adui yangu nikupe mbinu!
Sema tuu
Nzuri kufanya nini?
Okay...ndio maana
Huyo ni dadangu!
Hebu uache uchokozi
HahahahaHahaha kila ninachoandika najikuta nafuta