Utakuja kuona vitendo.
[emoji3][emoji3][emoji3] Yule haniwezi, kwanza kibonge.Naanzaje sasa kukuambia..wakati nataka shuhudia ukitwangwa ngumi
Umoja wetu umeanza mbali sana mzee wa mtetemo hawajui tulipotoka
Sawa yangu macho...na ukidundwa nakufungulia uzi
Kwenye ule uzi wa wanawake wanaokula sana hukumsema? [emoji15][emoji15][emoji15]Lini? Nilisemaje?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yule haniwezi, kwanza kibonge.
Umoja wetu umeanza mbali sana mzee wa mtetemo hawajui tulipotoka
[emoji23][emoji23]Kwenye ule uzi wa wanawake wanaokula sana hukumsema? [emoji15][emoji15][emoji15]
Umeanzaaaaa
[emoji3][emoji3]
Vibonge tunapiga usituchukulie poa..akikulalia kwisha habari yako
[emoji23][emoji23] mxxiuuuu zako ebu uko[emoji7][emoji7][emoji7]Watuache kabisa. Tena wewe labda tukufananishe na Mr nice.
Jirani utani tu! Kwani tangu asubuhi ulikuwa umecheka?[emoji23][emoji23]
Jirani leta ushahidi hapa..nione nilipomsema...sinaga hizo swagga za kusema wengine mie
Nani wa kufananishwa na wewe ?
[emoji7][emoji7][emoji7]Kibonge akinilalia inabidi lije katapila kumnyenyua.
Jirani utani tu! Kwani tangu asubuhi ulikuwa umecheka?
[emoji3][emoji3][emoji3] Kitu kimoja nachokupendea ni kwamba unaamini sana mgongo wako kuliko tumbo.[emoji23][emoji23] mxxiuuuu zako ebu uko
Hahahah upoje lakini we kaka