[emoji3][emoji3][emoji3] Kitu kimoja nachokupendea ni kwamba unaamini sana mgongo wako kuliko tumbo.
Niambie hapo kamoja tuu aki, na mie nichekemo kidogooNacheka mm yaan nacheka na vingi sana dada akee shunie
Jirani najua utani..[emoji23][emoji23][emoji23]
Imeisha vizuri halafu nipo kwenye dozi ujueNaombaa kujibiwaaaaaa....hivi jana siku imeishajeeee
Sasa hadi katapila likuje..si atakua ameshakushinda mpambano
Doziii imeanzaaa baada ya shughuli za jana au ...kwa hiyo tucancel order auImeisha vizuri halafu nipo kwenye dozi ujue
Yeah inanyesha ..na foleni kama kawaidaYah! Napenda kuona watu wanafurahi namna hii. Nasikia leo mvua inanyesha huko Dar!
Niambie hapo kamoja tuu aki, na mie nichekemo kidogoo
Yah! Napenda kuona watu wanafurahi namna hii. Nasikia leo mvua inanyesha huko Dar!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji7]Mimi najua namna ya kuwashinda vita nyingine siyo hizo za kulaliana.
Viatu vya Samaki apigwa na kibonge!Sawa yangu macho...na ukidundwa nakufungulia uzi
Wew na SakayoHaya mambo ya kulinganisha watu mi ndo siyataki kabisa
Doziii imeanzaaa baada ya shughuli za jana au ...kwa hiyo tucancel order au
Swadaktaa..tena Yale maneno yenye mkazo wa boldViatu vya Samaki apigwa na kibonge!
Hahaha sio naamini mgongo wangu kuliko hii sura ya baba angu
Huyo na espyWew na Sakayo
[emoji3][emoji3][emoji3]Hapana una imani sana mgongo wako, yaani huwa navuta picha ya tumbo lako naishia kukuona kama Rick Ross.
espy na Madame BHuyo na espy