Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Hahaaa waarabu ni noma juzi al ahly kasajili mchezaji kwa bil 11Hizi kelele za soka la bongo ni ushuzi tu, yahani simba na yanga kugombania wachezaji wenye thamani za ela madafu ndio tunasema soka linakua na waarabu wasemeje sasa wanaweka One bilion kwa mchezaji mmoja