Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,557 Reaction score 1,540 Aug 18, 2020 #21 CARIFONIA said: Hizi kelele za soka la bongo ni ushuzi tu, yahani simba na yanga kugombania wachezaji wenye thamani za ela madafu ndio tunasema soka linakua na waarabu wasemeje sasa wanaweka One bilion kwa mchezaji mmoja Click to expand... Hahaaa waarabu ni noma juzi al ahly kasajili mchezaji kwa bil 11
CARIFONIA said: Hizi kelele za soka la bongo ni ushuzi tu, yahani simba na yanga kugombania wachezaji wenye thamani za ela madafu ndio tunasema soka linakua na waarabu wasemeje sasa wanaweka One bilion kwa mchezaji mmoja Click to expand... Hahaaa waarabu ni noma juzi al ahly kasajili mchezaji kwa bil 11
M MaxMase JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 872 Reaction score 820 Aug 18, 2020 #22 Ally maganga said: Hivi academy ya Tp mazembe imetoa mchezaji gani mzuri? Click to expand... Wako wengi fuatilia tu
Ally maganga said: Hivi academy ya Tp mazembe imetoa mchezaji gani mzuri? Click to expand... Wako wengi fuatilia tu