Batuli actres aka Cleopatra atoa siri za waigizaji wenzake wa kike.

Sasa kama wanawake wakiri kwamba filamu hailipi wanategemea mabwana
WANAUME wao imekaaje!!
bado sijasikia wakilalamika ila tunawaona wanabadili magari kila siku
 
Mi nnalo pedeshee langu sihitaji lingine,nimeongelea hiyo habari nawe wamtaka Batulii wenzio wanataka mapedejee

Haaaaa Dinazarde!!!Loh kwani kua na Pedejeee zaidi ya mmoja ni dhambi???Si ndio raha, yani utakua kama mtu mwenye Bank Account zaidi ya moja na ATM card zaidi ya moja...Kwi kwi kwi kwi.
 
Kaolewa na ana watoto wawili so mume anahudumia.
 
Last edited by a moderator:
Haaaaa Dinazarde!!!Loh kwani kua na Pedejeee zaidi ya mmoja ni dhambi???Si ndio raha, yani utakua kama mtu mwenye Bank Account zaidi ya moja na ATM card zaidi ya moja...Kwi kwi kwi kwi.

Kwangu dhambii haraf rina bastora ritaniripuaa aiseee acha tu nitulizane japo sijui tupo wangapiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…