Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo picha yako ni mtego wa kuwapata mapedeshee wa JF.
.
Mi nnalo pedeshee langu sihitaji lingine,nimeongelea hiyo habari nawe wamtaka Batulii wenzio wanataka mapedejee
Swali langu kwa dada BATULI actress aka Cleopatra ni;
1. umesema filamu hazilipi ndio maana wenzio wana mapedeshee ili wajikimu kimaisha,sasa wewe dada yangu unatumia mbinu gani ktk kujikimu na maisha ilihali kazi uliyo nayo ni uigizaji ambao umesema haulipi? Batuli aka Cleopatra
Haaaaa Dinazarde!!!Loh kwani kua na Pedejeee zaidi ya mmoja ni dhambi???Si ndio raha, yani utakua kama mtu mwenye Bank Account zaidi ya moja na ATM card zaidi ya moja...Kwi kwi kwi kwi.
Kwangu dhambii haraf rina bastora ritaniripuaa aiseee acha tu nitulizane japo sijui tupo wangapiii
Mi nina Mashine gun