Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

karibu sana Batuli aka Cleopatra bora umeweka picha yako maanake nilivyoiona heading tu nikashtuka kwa kudhani kuna mtu anatake advantage ya jina lako,karibu sana ila humu kuna mengi ambayo utayapata na hasa kwa kuwa wewe ni kioo cha jamii kuna kukosolewa na pongezi pia,kwa hiyo kuwa tayari kwa lolote ukikosolewa usichukie bali jiangalie vizuri na ufanye marekebisho,ukipongezwa furahi na uzidi kukitunza ulichopongezewa usikipoteze,

kwa kuanza mi nakupongeza kwa kujiepusha na skendo,hongera sana kwa hilo huna skendo hautokei magazetini mara kwa mara na hat ukitokea ni kwamambo yatakayoinufaisha jamii.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kujazia post yangu hapo juu, Cloud pia amekuwa verified. Click hapo nilipo mention umuone

Ahsante sana mkuu, ngoja nimtafute mr Cloud 112, hawa ndio potential employers wangu!

lazma tuingie bongo movie soon.. nia tunayo.. nguvu tunayo, elimu tunayo.. vipaji tunavyo..
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana mkuu, ngoja nimtafute mr Cloud 112, hawa ndio potential employers wangu!

lazma tuingie bongo movie soon.. nia tunayo.. nguvu tunayo, elimu tunayo.. vipaji tunavyo..
Sawia kabisa. Ndio fursa zenyewe hizo
 
Ahsante sana mkuu, ngoja nimtafute mr Cloud 112, hawa ndio potential employers wangu!

lazma tuingie bongo movie soon.. nia tunayo.. nguvu tunayo, elimu tunayo.. vipaji tunavyo..

wewe umejuaje ikiwa unakipaji ....? au unataka kwenda kupata mteremko....
 
Last edited by a moderator:
wewe umejuaje ikiwa unakipaji ....? au unataka kwenda kupata mteremko....

mkuu kabanga, sifa kuu mojawapo ya msanii yeyote yule, ni kujitambua! kujitambua kupo kwa aina nyingi sana mkuu, kuna watu wana vipaji lakini hawajui kama wanavyo, sasa ili kuviibua, ndio maana wanapelekwa kwenye academies mbalimbali na kufanyiwa auditions..

na kumbuka kuwa, kuna wasanii wengi sana walikuwa hawana element hata kidogo za usanii, ila wametengenezwa wakatengenezeka! kwa mfano, JB, RAY, IRENE UWOYA na wengineo wamo.. na pia msanii mkubwa wa kimataifa, STALLONE RAMBO, alikuwa hana hata wazo la kuja kuwa msanii, bali tu ni mtu alimuibua mtaani akampika! ndo huyo sasa unaemuona superstar stallone RAMBO.

Mimi nilikuwepo kwenye tasnia tangu nilipokuwa shule ya msingi, basi tu wazazi walinipiga biti na kunikomalia kusoma wakidai kuwa kuingia kwenye tasnia ni sehem ya kupotea na kufeli masomo. as long as sasa najitambua, naingia rasmi kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo.

kabanga i promise you, within six months, i will show you something very economical that is my the function of mine.
 
Last edited by a moderator:
kaka nimekuelewa.....lakini tatizo kubwa hawa jamaa wengi hawajielewi.....
 
kaka nimekuelewa.....lakini tatizo kubwa hawa jamaa wengi hawajielewi.....

mkuu hilo nalo ni sehemu ya tatizo ya tasnia ya bongo movie. na sababu kuu hasa ni pamoja na wengi wao kutokuwa na elimu ya kutosha katika tasnia na muungano mbovu kati yao.

Tasnia inaingiliwa tu na kila anaejisikia ili mradi tu ana pesa! hatukatai competition, ila tatizo ni kwamba, poor quality products zinakuwa nyingi sana sokoni, hii inatuharibia sana kwa soko la nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…