Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shemeji habari ya mchana huu??? mzima lakini??karibu sana Batuli aka Cleopatra
Hivi nikuulize, kama ungeambiwa ubadilishe kitu katika tasnia ya Bongo Movie, ungependa nini kibadilike?
shemeji habari ya mchana huu??? mzima lakini??
hahahahaha mtu na shemejie! watuwacheeeeeeee!eeh! hebu njoo PM fasta....
Inapendeza kama umejiunga na JF, hope utajifunza mengi na utachangia mengi pia. Mwigizaji mwenzako Cloud ni mwanachama hapa.
kweli mkuu?
hebu m-mention nione id yake kamili!
Kwa kujazia post yangu hapo juu, Cloud pia amekuwa verified. Click hapo nilipo mention umuone
Ahsante sana mkuu, ngoja nimtafute mr Cloud 112, hawa ndio potential employers wangu!
lazma tuingie bongo movie soon.. nia tunayo.. nguvu tunayo, elimu tunayo.. vipaji tunavyo..
wewe umejuaje ikiwa unakipaji ....? au unataka kwenda kupata mteremko....
kaka nimekuelewa.....lakini tatizo kubwa hawa jamaa wengi hawajielewi.....mkuu kabanga, sifa kuu mojawapo ya msanii yeyote yule, ni kujitambua! kujitambua kupo kwa aina nyingi sana mkuu, kuna watu wana vipaji lakini hawajui kama wanavyo, sasa ili kuviibua, ndio maana wanapelekwa kwenye academies mbalimbali na kufanyiwa auditions..
na kumbuka kuwa, kuna wasanii wengi sana walikuwa hawana element hata kidogo za usanii, ila wametengenezwa wakatengenezeka! kwa mfano, JB, RAY, IRENE UWOYA na wengineo wamo.. na pia msanii mkubwa wa kimataifa, STALLONE RAMBO, alikuwa hana hata wazo la kuja kuwa msanii, bali tu ni mtu alimuibua mtaani akampika! ndo huyo sasa unaemuona superstar stallone RAMBO.
Mimi nilikuwepo kwenye tasnia tangu nilipokuwa shule ya msingi, basi tu wazazi walinipiga biti na kunikomalia kusoma wakidai kuwa kuingia kwenye tasnia ni sehem ya kupotea na kufeli masomo. as long as sasa najitambua, naingia rasmi kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo.
kabanga i promise you, within six months, i will show you something very economical that is my the function of mine.
kaka nimekuelewa.....lakini tatizo kubwa hawa jamaa wengi hawajielewi.....
Ndo ukatukimbia.Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
InawezekanaLabda yupo ila kwa ID ingine
JF huwezi enjoy ukiwa na real names na ni popular.Inawezekana