Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

Mara ya mwsho kumeet na ambwene yesaya ilikua lin? Endelea kua mtu mzuri kwani haupo kwenye list ya shigongo.ur couzin
 
Karibu sana. Swali la kizushi. Kwanini movie za bongo mnazipa majina ya kizungu?. mia

Baadhi ya Producers Huweka majina ya Kiswahili wengine Kiingereza. Wengine huweka yote. Nadhani hii inategemea mitazamo ya Producer na Stry Writer ikizingatia masoko. Si rahisi kuwa na jibu kamili.
 
wa nigeria wanauza sana online asa kwa kupitia tv na online je amuoni kwamba nanyie mnaweza mkafanya hivo ili kutotegemea tu kuuza kazi zenu through dvd?

Asante ni ushauri mzuri. Hili linategemea pia Distributors na Producer au mwenye kazi. I hope tunaelekea huko sasa.
 
We ndo balozi wa dse? Usibebe sembe umesikia batuli!

Yes. Tunahamasisha SME's zenye mipango mathubuti ya Biashara zijiorodheshe DSE ili kupata Mitaji mikubwa na ya muda mrefu. DSE limeanzisha dirisha la Ujasiliamali linaloitwa "Dirisha la Kukuza Ujasiriamali" yaani "Enterprise Growth Market" window "EGM"..

EGM ni kwa ajili ya makampuni madogo na ya kati, mapya au yanayoendelea kukua lakini yanahitaji mitaji ya muda mrefu. Mipangp Mikakati mizuri ya Kibiashara ni moja ya sifa kubwa ili ukubaliwe kuorodheshwa.

Kuhusu Sembe. Napiga vita na kuichukia biashara hiyo.
 
Ningependa nifahamu kitu hiki.
Unajiita/unaitwa Batuli...,
Why a.k.a Cleopatra?

Jina langu halisi ni Yobnesh Yusuph. Batuli ni jina nililotumia katika Movie niliyoshiriki ya "FAKE SMILE" niliyocheza na Kanumba. Lililoeleka zaidi kwa fans wangu.

Cleopatra ni jina jipya ninalotumia kwa sasa. Watch out movie ya CLEOPATRA baadaye this year.
 
Yes. Tunahamasisha SME's zenye mipango mathubuti ya Biashara zijiorodheshe DSE ili kupata Mitaji mikubwa na ya muda mrefu. DSE limeanzisha dirisha la Ujasiliamali linaloitwa "Dirisha la Kukuza Ujasiriamali" yaani "Enterprise Growth Market" window "EGM"..

EGM ni kwa ajili ya makampuni madogo na ya kati, mapya au yanayoendelea kukua lakini yanahitaji mitaji ya muda mrefu. Mipangp Mikakati mizuri ya Kibiashara ni moja ya sifa kubwa ili ukubaliwe kuorodheshwa.

Kuhusu Sembe. Napiga vita na kuichukia biashara hiyo.
Kumbe, ingia hio link hapo chini ambayo ipo jukwaa la uchumi na Biashara, na ufunguke kuhusu hio EGM ya DSE. Tahadhari tu uwe flexible kujibu hoja, hapa hoja inajibiwa kwa hoja. Karibu

https://www.jamiiforums.com/busines...hisa-la-dar-es-salaam-dse-watch-itv-live.html

Cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom