lawyer lawyer
Senior Member
- Jul 29, 2012
- 147
- 41
Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
Asante. Nitafikisha ujumbe.
Yes. Tunahamasisha SME's zenye mipango mathubuti ya Biashara zijiorodheshe DSE ili kupata Mitaji mikubwa na ya muda mrefu. DSE limeanzisha dirisha la Ujasiliamali linaloitwa "Dirisha la Kukuza Ujasiriamali" yaani "Enterprise Growth Market" window "EGM"..
EGM ni kwa ajili ya makampuni madogo na ya kati, mapya au yanayoendelea kukua lakini yanahitaji mitaji ya muda mrefu. Mipangp Mikakati mizuri ya Kibiashara ni moja ya sifa kubwa ili ukubaliwe kuorodheshwa.
Kuhusu Sembe. Napiga vita na kuichukia biashara hiyo.
Batuli aka Cleopatra,
zamani nilikua napenda sana maigizo ya kitanzania enzi za kina mzee Jengua, Swebe, Muhogo mchungu, Siyawezi na wenzie kina Uledi (igizo la damu nzito), nk.
Tatizo lilianza pale zilipoibuka hizi zinazoitwa Bongo Movie. Yaani watu hawajui/hawawezi kuvaa uhusika, pia wanaojiita wasanii/waigizaji wa hizi filamu naweza kusema kua ni wezi kupitia kazi zao. Ndiyo ni wezi kwa maana kua unakuta filamu imechezwa nzima lakini inakatwa vipande na kuitwa part 1 na part 2 lakini ukiangalia hakuna ulazima huo.
Kituko kingine utakuta filamu ni ya Kitanzania, imechezwa mazingira ya Kitanzania, lugha iliyotumika ni Kiswahili lakini JINA LA FILAMU NI KINGEREZA mfano "fake smile" (waweza eleza ilikuaje mkaiita hivyo badala ya kutumia Kiswahili?).
Natamani yarudi maigizo ya kina Muhogo mchungu kuliko hizi bongo movie. Vinginevyo karibu Jamiiforums.
Jina langu halisi ni Yobnesh Yusuph. Batuli ni jina nililotumia katika Movie niliyoshiriki ya "FAKE SMILE" niliyocheza na Kanumba. Lililoeleka zaidi kwa fans wangu.
Cleopatra ni jina jipya ninalotumia kwa sasa. Watch out movie ya CLEOPATRA baadaye this year.
Karibu sana JF....
Malengo yako ya kujiunga nasi ni yapi haswa?
Karibu sana. Swali la kizushi. Kwanini movie za bongo mnazipa majina ya kizungu?. mia
Kumbe, ingia hio link hapo chini ambayo ipo jukwaa la uchumi na Biashara, na ufunguke kuhusu hio EGM ya DSE. Tahadhari tu uwe flexible kujibu hoja, hapa hoja inajibiwa kwa hoja. Karibu
https://www.jamiiforums.com/busines...hisa-la-dar-es-salaam-dse-watch-itv-live.html
Cc Pasco
thanks kwa kueleza hapo inaonekana shule ipo. me sio ambwene cleopatra nimeulza tu!
Kalibu jf pia usijione uko pekee yako.. humu tunao wasaani wengi, wengine wanafanya comedy za jukwaani kama nauye.
karibu sana.
wewe ni mrembo balaa, na pia ulipendeza sana kwenye uzinduzi wa filamu ya LULU.
Napenda unavyoigiza.kip it up.
NAOMBA UWE BALOZ WA KUZUIA WASANII WASITUMIE MIKOROGO!
Asante sana kwa kunitia moyo.
Pia nitajitahidi kufanya hivyo.
una kimbelembele cha kujibu kila swali,mengine uyapotezeege,mwanamke anayemkubali kila mwanaume anapunguzaga thamani yake,karibu jf,watata kama sisi hatukosi humu.