NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Weka picha, mbina kwenye senema na tamthilia unawekaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ila inategemea na malengo yako humu, kama utakuja kikazi ni platform nzuri na itakukutanisha na wadau wengi wa heshima na kuaminika pamoja na wateja,Ukija na Feki ID ndio hivyo utafurahia kujichangaya kwa uhuru na itaishia hapo tu.JF huwezi enjoy ukiwa na real names na ni popular.
Inategemea ns malengo pia na aina ya kazi.....Ni kweli, ila inategemea na malengo yako humu, kama utakuja kikazi ni platform nzuri na itakukutanisha na wadau wengi wa heshima na kuaminika pamoja na wateja,Ukija na Feki ID ndio hivyo utafurahia kujichangaya kwa uhuru na itaishia hapo tu.
Dahhhh....
Hata siku tegemea kabisa