Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

Karibu...... lakini "ufikirie Vizuri".... this is JF
Udada dada Wa bongo Movie Uweke pembeni eeeeeeh!!
You are welcome.
 
Karibu Batuli aka Cleopatra. Ila mbona magazeti yanaanza kukubeep au ndio kukupandisha chat? Pedeshee gani tena huyo aliyekumwaga? Au ni CK?
 
Last edited by a moderator:
sisi hatunaga aka's humu chagua jina lako moja utakalolitumia
 
mwisho wa siku aka ndo zitakuwa majina ya ukweli
 
love u batuli karibu jf huku ni ukweli na uwazi kupewa lako haya hahah,maoni fanya kazi usije ukawa wengi kila siku kwenye magazeti...
 
Salaam sana wana Jamiiforum

Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.

Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.

Asanteni sana.

Karibu, but sikukumbuki vizuri,,, hebu nikumbushe moja ya filamu zako ulizocheza!
 
Yupi hapa ni wa Diamond?

HUYO WA KWENYE JANGWA DESERT
Heaven on earth
profilepic132738_3.gif

heaven on desert
avatar121387_11.gif
 
Last edited by a moderator:
karibu sana Batuli aka Cleopatra

Hivi nikuulize, kama ungeambiwa ubadilishe kitu katika tasnia ya Bongo Movie, ungependa nini kibadilike?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom