Batuli: Mtunisi hana Mvuto Kwangu, nimepata Mzungu

Batuli: Mtunisi hana Mvuto Kwangu, nimepata Mzungu

Huyo Mtunisi mwenyewe anavyojichubuaaaa mhhh miye hoiiii? :A S-confused1: kama Dida tu

Anakwambia ndio alivyo, na jamaa ana maringo na maneno machafu kama muimba taarabu, kutwa uko insta yeye mafumbo tu, yeye na mwenzie ray wanapenda sana kuropoka
 
Huyu demu, nshamshusha viwango kwa statements hizo
 
Hivi si yupo huku?natamani aje kujibu hizi tuhuma!!! cleopatra

Aje ajitake? Chezeya jf nn? Mwenyew kakimbia, uku staa ukija lazima ujipange kabla hujapangwa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa hasa wewe! Uwiiiii angejishaua kuja hapa ningeamchambaje na hivi simpendi sasa....

ANgefurahi na huyo nzungu wake hakyanani, na tunaisubir hyo ndoa apa, sie tupo wachawi kama kawaida yetu
 
ANgefurahi na huyo nzungu wake hakyanani, na tunaisubir hyo ndoa apa, sie tupo wachawi kama kawaida yetu

Batuli hapendwi hata na hao bongo movie wenzie...wanasema anaringa sana,mzuri yeye kila kitu yeye..
 
Batuli hapendwi hata na hao bongo movie wenzie...wanasema anaringa sana,mzuri yeye kila kitu yeye..

Tatizo nyotaaaaa!!!!, mzuri pesa tu anazozililia kwa mzungu, apeleke dudu lake uko, ivi Dinazarde yupo wapi? Au ndo ban? Maana binamu yangu yule alivyokuwa nisipitwe ningekuwa nshamuona mitaa hii
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa warumi ur killing me hahhaaahh, hta mi huyu batuli ni kat ya wasichana wachache sana bongo muv nliodhan wanaakil kumbe nae hamnazo tu! Mweh yan hta maneno anayoongea tu thyvr so cheap ptuuuuu!!!!

Uozo mtupu, bongo movie wote hamnazo, si alikuwa anajitangazia kwa watu eti anatoka na papaa msofe , wacha papaa amchambe vilivyo, akasema ye alikuja kwangu kuazima gari ya kushutia filamu nashangaa hayo mapenzi yametokea wapi, yani huyu bidada anapenda kushobokea wanaume, sijui hao watoto wawil hawamtoshi au anataka three some tuu, nfyuuu
 
Anakwambia ndio alivyo, na jamaa ana maringo na maneno machafu kama muimba taarabu, kutwa uko insta yeye mafumbo tu, yeye na mwenzie ray wanapenda sana kuropoka

Ule uaraza

Zile ndevuuu anavyozinyongorota kama sensei wa kichina

Kwa sababu Bongo movie mahandsome wapo wa kuhesabu anyway naye HB
 
Siku izi libatuli sijui linavuta bhang? Izi ni hasira za kuachwa maana jamaa alimwambia ameoa aache kuongea upuuzi kwenye mitandao, naona bibie kapanick , kala ndimu hadi zimemkinai kaamua atoe ya rohoni

ndo maaana mi ananikera huyu dada na ujingaujinga wake nilikua namkubali ila sasa hv mweee ngoja nikamuunfollow ig
 
Wazungu wenyewe wa kukutana double tree leo kesho wanatangaza ndoa, atasubir sana na ivi ana mitoto miwili sijui nani anatakaga mizigo siku izi, atajibeba , movie zimemshinda anaanza umalaya

Samahani mkuu....lakini watoto wake wanaingiaje hapa mpaka uiite mitoto....???....umbea usikutoe busara mkuu...
 
Haya bibi bomba batuli kajilieni 0713. na huyo mzungu wako, maana kawaida yao hao jamaaa kwa bibi hata hapawaumizi kichwa wameanza kucheza napo wakiwa under nine.
 
ktk kitu alichokosea steve nyerere kabla ya kujiuzulu bongo movie ni kutupa takwimu kamili ya malaya , matahira , n.k bcoz hakuna chengine bongo movie
 
Sizitaki mbichi zile! alivyokua akimfunua hakujua kama Hana mvuto,baada ya kupata zeruzeru mwenyewe akasema mzungu ndio anaona huyo Mtunis hafai... maneno ya mkosaji hayo atupishe sie............
 
Back
Top Bottom