warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440

Batuli
Kwa mara nyingine , staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf Batuli amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpendamwanaume kama alivyompenda NiceMohammed Mtunis .Staa wa sinema za Kibongo , Yobnesh Yusuf Batuli Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni.
Batuli alisema licha ya kuwa walimwaganana staa huyo lakini hatokuja kupendamwanaume kama alivyompenda Mtunis .Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda mwanaume mwingine kama hivyo na kwa kawaida kupenda huwa ni mara moja tu mengine tutadanganyana, alisema Batuli.
Hivi karibuni Batuli aliripotiwa kutikisa ndoaya Mtunis ikidaiwa kuwa bado ana uhusiano naye lakini cha ajabu mtoto wa kike hakuonesha dalili zozote za kukanusha taarifa hizo .