Baunsa anayetuhumiwa kumpiga na kumsababishia kifo msanii Radio akamatwa

Baunsa anayetuhumiwa kumpiga na kumsababishia kifo msanii Radio akamatwa

Familiya ya Radio ilishaksnusha...kuwa ile clip iliyokuwa inasambaa mitandaoni ...kuwa siyo ya marehemu ndugu yao....alafu tukio wakat linatokea watu wote walikuwa tungi na ilikuwa midnight ...

Alafu uyo jamaa mbona kakamatwa kizembe au wamemchoma.
 
Dah.. nakumbuka alichofanya kwenye msiba wa ivan kwenye ule mkesha alipomvamia dj akatupa laptop kwenye swimming pool...

any way kila mtu yuko alivyo ila tabia na mwenendo mzuri ni jambo jema.

RIP Mowzey
umenena mkuuu .
 
huyo BAUNSA amejiplint au ...mbona Yule wakwenye clip anaonekana ana mwili mkubwa kama Dj khalid
 
Familiya ya Radio ilishaksnusha...kuwa ile clip iliyokuwa inasambaa mitandaoni ...kuwa siyo ya marehemu ndugu yao....alafu tukio wakat linatokea watu wote walikuwa tungi na ilikuwa midnight ...

Alafu uyo jamaa mbona kakamatwa kizembe au wamemchoma.
Mtuhumiwa hana akili ya kukimbia, amezoea kuganda kwenye milango,
watu wa kukimbia masoo huwa ni madereva na makondakta
 
Nilijua tu.
Museven hawezi kumuacha salama.
Naamini museven ni shabiki namba 1 wa radio...
 
Siku ZOTE NINGE huja baada ya TUKIO..... majuto ni mjukuu
 
Mtuhumiwa hana akili ya kukimbia, amezoea kuganda kwenye milango,
watu wa kukimbia masoo huwa ni madereva na makondakta
Alikosa akili ya ziada pengine kutoka kwa wanao mshauri maana ukiwa kwenye tatizo kuwaza straight huwa shida asa sijui alijua yataisha anyway labda kaambiwa kaua bila kukusudia
 
yule baunsa aliye mnyanyua na kumdunda kama mpira sio uyo .. jama ni bonge kama mwarabu fight wa dabliusibi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nn Wcb
Ila kweli hafananii yule Alikuwa amejazia huku juu
 
Sheria ifuate mkondo wake..kama marehemu ndiyo aliyeanzisha ugomvi basi wamuache huyo baunsa ajichenge.
 
Back
Top Bottom