DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
sawa mkurugenziSijui
umenena mkuuu .Dah.. nakumbuka alichofanya kwenye msiba wa ivan kwenye ule mkesha alipomvamia dj akatupa laptop kwenye swimming pool...
any way kila mtu yuko alivyo ila tabia na mwenendo mzuri ni jambo jema.
RIP Mowzey
Hhahahahahahhahah hata mm nimeona hivyo jamanii khaa baunsa gani huyu,.hiki kibaunsa sio baunsa buanaa[emoji13] [emoji13]Mh jamani baunsa ndo anakuaga hivo kimbaumbau. All in all afungwe tu
Mtuhumiwa hana akili ya kukimbia, amezoea kuganda kwenye milango,Familiya ya Radio ilishaksnusha...kuwa ile clip iliyokuwa inasambaa mitandaoni ...kuwa siyo ya marehemu ndugu yao....alafu tukio wakat linatokea watu wote walikuwa tungi na ilikuwa midnight ...
Alafu uyo jamaa mbona kakamatwa kizembe au wamemchoma.
Ni matukio mawili tofauti.Mbona uyo jamaa afanani ata kidogo na yule baunsa ktk clip
Nimependa ulivyoandika WCB.yule baunsa aliye mnyanyua na kumdunda kama mpira sio uyo .. jama ni bonge kama mwarabu fight wa dabliusibi
Alikosa akili ya ziada pengine kutoka kwa wanao mshauri maana ukiwa kwenye tatizo kuwaza straight huwa shida asa sijui alijua yataisha anyway labda kaambiwa kaua bila kukusudiaMtuhumiwa hana akili ya kukimbia, amezoea kuganda kwenye milango,
watu wa kukimbia masoo huwa ni madereva na makondakta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nn Wcbyule baunsa aliye mnyanyua na kumdunda kama mpira sio uyo .. jama ni bonge kama mwarabu fight wa dabliusibi
Yap wangekuwa waganda lazima ungesikia BHANANGE! !waqt jamaa katupwa chini.Ile clip ukiisikiliza vizuri wale ni black Americans
Na sio waganda
Haha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yap wangekuwa waganda lazima ungesikia BHANANGE! !waqt jamaa katupwa chini.