Bauxite ni nini?

Bauxite ni nini?

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
828
Natamani kujua bauxite ninini?je ni madini,,naskia na nimesoma yanapatikana same,na ni bei gani yanauzwa?
 
GOOGLE........Utajua ni nini.......
 
Umeshasema yanapatikana huko Same Mlimani na kuna kashfa ya Kampuni moja la arusha na wachimbaji wengine walikuwa wakichimba hapo na kupeleka Madini hayo ya Aluminium huko Kenya
Na tafsiri nyingine ni Mji huko Ufaransa
Bauxite
is an aluminium ore and is the main source of aluminium. This form of rock consists mostly of the minerals gibbsite Al(OH)[SUB]3[/SUB], boehmite γ-AlO(OH), and diaspore α-AlO(OH), in a mixture with the two iron oxides goethite and hematite, the clay mineral kaolinite, and small amounts of anatase TiO[SUB]2[/SUB]. Bauxite was named after the village Les Baux in southern France, where it was first recognised as containing aluminium and named by the French geologist Pierre Berthier in 1821.
 
Ukwaju amejibu vizuri mno ni aina ya madini yaliyo kwenye kundi la 'minerals' yanapatikana pia Tanga Lushoto kwenye milima ya usambara ambayo kimsingi inapakana na milima ya Same
kwa wanaoifahamu shule ya sekondari Mazinde juu imejengwa juu ya bouxite tupu
pamoja na kuwa malighafi ya kutengeneza alluminium pia ni malighafi muhimu kwenye kutengeneza silaha kali kama nyuklia (nuclear)
 
Bauxite ni madini yanachimbwa same na kupelekwa Kenya Bamburi Cement kwa ajili ya kutengeneza cement. Moja ya vitu vinavyochanganywa ni Bauxite, Pozolana na Kilinker.
 
Back
Top Bottom