Umeshasema yanapatikana huko Same Mlimani na kuna kashfa ya Kampuni moja la arusha na wachimbaji wengine walikuwa wakichimba hapo na kupeleka Madini hayo ya Aluminium huko Kenya
Na tafsiri nyingine ni Mji huko Ufaransa
Bauxite is an aluminiumore and is the main source of aluminium. This form of rock consists mostly of the mineralsgibbsite Al(OH)[SUB]3[/SUB], boehmite γ-AlO(OH), and diaspore α-AlO(OH), in a mixture with the two iron oxidesgoethite and hematite, the clay mineral kaolinite, and small amounts of anatase TiO[SUB]2[/SUB]. Bauxite was named after the village Les Baux in southern France, where it was first recognised as containing aluminium and named by the French geologist Pierre Berthier in 1821.
Ukwaju amejibu vizuri mno ni aina ya madini yaliyo kwenye kundi la 'minerals' yanapatikana pia Tanga Lushoto kwenye milima ya usambara ambayo kimsingi inapakana na milima ya Same
kwa wanaoifahamu shule ya sekondari Mazinde juu imejengwa juu ya bouxite tupu
pamoja na kuwa malighafi ya kutengeneza alluminium pia ni malighafi muhimu kwenye kutengeneza silaha kali kama nyuklia (nuclear)
Bauxite ni madini yanachimbwa same na kupelekwa Kenya Bamburi Cement kwa ajili ya kutengeneza cement. Moja ya vitu vinavyochanganywa ni Bauxite, Pozolana na Kilinker.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.