BAVICHA: Abdul akitekwa Samia atakaa kimya?

Huo msako wake ni hatari, mpaka uvungunj, mixer mitungi ya maji kubomolewa 😂

Kama bavicha wanataka kuona kitakachojiri, wajigeuze wasiojulikana, wamteke kisha sasa ndio wataiona june july yake...

CHIZI ANACHEKESHA AKIWA HATOKI KWENYE FAMILIA YAKO.
 
Mpuuzi wewe nani? Je! Akipitezwa na aMungu kwa maombi ya watakatifu ninyi mtafanyaje? Alivyopotezwa yule Shujaa wenu na Mungu mlifanyaje? Acha ujinga wewe, "The Spiritual Realm rules the Physical Realm"
 
Una stress za maisha au akili ndio huna!? 😂

Kusoma unajua sina shaka na hilo, ila kuelewa sasa ndio changamoto yako, jitahidi uelewe unachosoma. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…