Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Muungano huu ni sawa na mtu kumng'ang'ania hawara asiye kupenda. Utatoa gharama kubwa kulilinda pendo huku ukijua hakuna upendo hapo. Tanganyika ataendelea kubeba muungano kwa gharama kubwa zaidi. Huku tukijua hisia za wananchi juu ya muungano.Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.
BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Kwenda kwenye kaburi la mtu usiyependa mambo yake ni kinyume cha maumbileMuungano huu ni sawa na mtu kumng'ang'ania hawara asiye kupenda. Utatoa gharama kubwa kulilinda pendo huku ukijua hakuna upendo hapo. Tanganyika ataendelea kubeba muungano kwa gharama kubwa zaidi. Huku tukijua hisia za wananchi juu ya muungano.
Jamaa yako Sabaya Ole Mungiki kafungwa "sete yiaz wis hadi works"!Piga domo tu.😝😝😝😝😝😝😝Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.
BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Nyerere alikuwa si mnafiki kama waliomfuatia. Alikiri makosa walioyafanya wakati wa enzi zake . Na aliwaomba WaTz wayaache wachukue mazuri yaliopo. Akayaandikia na kitabu, na akaukubali na udhaifu wa katiba iliopo. Leo akina Chief wameing'ang'aniKwenda kwenye kaburi la mtu usiyependa mambo yake ni kinyume cha maumbile
Hakuna haja ya kumgeuza Nyerere mungu, chukua mazuri ya kijinga achana nayo. (Ni kauli yake mwenyewe)Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.
BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Umeandika makorokocho gani ?Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.
BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.
BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Nyie madogo. Mnavuta bangi hapo lumumba??Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.