Huwez kumuona Magonjwa Mtambuka humu. Siku hizi mke wake mzungu kambania kuingia JF analazimishwa kujikita kufanya kazi za ndani na kulea watoto wao mda wote.
Vijana Bora sana,bila shaka babu zetu,Mandela,Kwameh Nkurumah,Samora,Nyerere,Karume,huko waliko watakuwa wanapata ahueni kwamba angalau damu yao ipo kwa Hawa vijanaIle Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , na ambayo inatajwa kushika nafasi ya 3 kwa Ubora duniani (BAVICHA) , tayari imefika ndani ya uwanja wa Mkapa kwa ajili ya kushudia mtanange wa Mahasimu Wawili wakubwa katika soka la Tanzania , Simba na Yanga .
Bavicha ambao wameingia uwanjani hapo wakiwa wamevalia fulana zao kali zilizoandikwa "KATIBA MPYA" wameamsha Shangwe za kufa mtu baada ya kushangiliwa na UWANJA MZIMA , jambo lililoleta taharuki kwa muda kabla ya uwanja kutulia .
View attachment 2040649
Wakapewa kesi ya kutaka kupindua Serekali.Wakaanda ushahidi mzito fulana nyekundu kiashiria cha umwagaji damu.Wanaweza kamatwa na Kingai[emoji1]
[emoji38][emoji38][emoji38]Wakapewa kesi ya kutaka kupindua Serekali.Wakaanda ushahidi mzito fulana nyekundu kiashiria cha umwagaji damu.
Tatizo lako unafikri kila mtu anakaa kwa mzungu na kulea watoto kama ulivyo weweHuwez kumuona Magonjwa Mtambuka humu. Siku hizi mke wake mzungu kambania kuingia JF analazimishwa kujikita kufanya kazi za ndani na kulea watoto wao mda wote.
Lini utaacha makalio kufikiri?Huwez kumuona Magonjwa Mtambuka humu. Siku hizi mke wake mzungu kambania kuingia JF analazimishwa kujikita kufanya kazi za ndani na kulea watoto wao mda wote.
Shoga huyu.Tatizo lako unafikri kila mtu anakaa kwa mzungu na kulea watoto kama ulivyo wewe
Sasa mbona wamevaa nyekundu. Ina maana nao ni mashabiki wa Simba?
Tatizo nini ?Cheki sura zao, wameweka userious flani hivi as if they are a big deal!
Mimi kwangu Yanga na CCM ni dugu moja...mbona ccm wote huvalia kijani, ina maana wao ni Yanga?
Bavicha mision zao huwa ni za kipumbavu sana aisee
[emoji38][emoji38][emoji38]Wamenifurahisha sana kwa kuvaa fulana nyekundu. Ile rangi ya utopwinyo isingeleta hamasa kabisa. Ujumbe umefika karibuni sana bavicha
Karibu sanaAhsante kwa taarifa...
Mimi kwangu Yanga na CCM ni dugu moja.
Tulia weweee TAGA.Lini utaacha makalio kufikiri?
Kwa uchochezikwa kosa gani ?