Bavicha wafika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya Simba na Yanga

Bavicha wafika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya Simba na Yanga

Ile Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , na ambayo inatajwa kushika nafasi ya 3 kwa Ubora duniani (BAVICHA) , tayari imefika ndani ya uwanja wa Mkapa kwa ajili ya kushudia mtanange wa Mahasimu Wawili wakubwa katika soka la Tanzania , Simba na Yanga .

Bavicha ambao wameingia uwanjani hapo wakiwa wamevalia fulana zao kali zilizoandikwa "KATIBA MPYA" wameamsha Shangwe za kufa mtu baada ya kushangiliwa na UWANJA MZIMA , jambo lililoleta taharuki kwa muda kabla ya uwanja kutulia .

View attachment 2040649
Vijana Bora sana,bila shaka babu zetu,Mandela,Kwameh Nkurumah,Samora,Nyerere,Karume,huko waliko watakuwa wanapata ahueni kwamba angalau damu yao ipo kwa Hawa vijana
 
Bavicha mision zao huwa ni za kipumbavu sana aisee
 
Wamenifurahisha sana kwa kuvaa fulana nyekundu. Ile rangi ya utopwinyo isingeleta hamasa kabisa. Ujumbe umefika karibuni sana bavicha
 
Back
Top Bottom